Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Wewe hujui hata kusoma kwa ufahamu.

Wapi nimesema nina akili?

Wewe hujui hata kusoma na hivyo ni vigumu kufanya majadiliano nawe hapa JF.
Point yangu ni kwamba si kila kilichopo unaweza kukigusa na si lazima mpaka ukiguse ndipo kiwepo. Kuamini kwako au kutoamini kwako hakuondoi ukweli kwamba Kuna Mlima Kilimanjaro.
 
kwa hiyo point ni kutaka kuabudiwa na si uwepo wake? Tumalizane na kimoja kwanza kabla hatujaendelea
Mungu hayupo wala hajawahi kuwepo ila hako ka nadharia ka uwepo wa Mungu kapo vichwani mwa watu ,na kameshikiliwa na hofu ya kifo + ahadi + vitisho , ukiondoa hivyo vitu kwenye vichwa vya watu Habari ya Mungu ndio itakua kwisha .
 
Mkuu sayansi ni LOGIC tu haina maajabu yoyote

Mimi na wewe tunaishi kwa kutumia logic tu na sio invincible power
Kama ungeielewa vyema sayansi basi ungeelewa kwamba kuna grand designer! Master! Akili kubwa iliyoset everything in motion!
 
Umejuaje hana uwezo huo coz nipo na mbwa wangu anajua kila kitu nilichomfundisha.
Umesema umemfundisha hapo ni kusema umetumia maono yako ukayahamisha kwa mbwa kwa njia ya mafunzo.

Hapo nitasema maono ya min -me ni kuwa na mbwa mwenye kuelewa lugha na kutii amri. Okay lengo limetimia je hapo unaweza sema maono ya mbwa ni yapi?
 
Ulishasikia wap akili zinataka kuabudiwa na usipo ziabudu kuna moto , kwamba akili ndio Mungu?
Huyo mtu ana matatizo ya kushindwa kusoma kwa ufahamu.

Mimi nimemwambia hata kama sina akiki, hilo nalo linaonesha Mungu hayupo.

Yani sijasema kuwa nina akiki.

Lakini, yeye kwa ungumbaru wake, bado anaiuliza habari za akili yangu, nimuoneshe, wakati hakuna nilipomuambia mimi nina akili.

Sasa mtu wa aina hii, hata kufuatilia hoja kimantiki tu hawezi, mimi nitaongea naye nini?
 
Hilo swali namuulizaga mwanangu mdgo mkuu,siwezi kupata ujasiri wa kumuuliza mtu mzima eti wewe umetoka wap ebu vuta picha kwa akili ya kawaida tu.
Mkuu hawa watu wana akili TIMAMU kabisa
Isipokua linapokuja swala la Imani yao ya Mungu wanaacha kabisa kutumia AKILI
 
Point yangu ni kwamba si kila kilichopo unaweza kukigusa na si lazima mpaka ukiguse ndipo kiwepo. Kuamini kwako au kutoamini kwako hakuondoi ukweli kwamba Kuna Mlima Kilimanjaro.
Kwani wapi nimekwambia nataka kumgusa Mungu?

Unaelewa hoja yangu kubwa ya kukataa uwepo wa Mungu ni ipi?
 
Point yangu ni kwamba si kila kilichopo unaweza kukigusa na si lazima mpaka ukiguse ndipo kiwepo. Kuamini kwako au kutoamini kwako hakuondoi ukweli kwamba Kuna Mlima Kilimanjaro.
Kitu gani kipo ila unahisi hakiwezi kutambulika na milango mitano ya fahamu ?
 
Mungu hayupo wala hajawahi kuwepo ila hako ka nadharia ka uwepo wa Mungu kapo vichwani mwa watu ,na kameshikiliwa na hofu ya kifo + ahadi + vitisho , ukiondoa hivyo vitu kwenye vichwa vya watu Habari ya Mungu ndio itakua kwisha .
Unasema Mungu hayupo alafu wakati huo huo unavuta oksijeni wala hauhoji imetoka wapi 😄 unapanda unavuna wala hauhoji jua mvua vinatoka wapi, usiku unaona mwezi nyota unàdhani mjomba wako aliweka pale 😄 huu nao ni aina nyingine ya uwendawazimu. Elimu muhimu sana
 
Mkuu hawa watu wana akili TIMAMU kabisa
Isipokua linapokuja swala la Imani yao ya Mungu wanaacha kabisa kutumia AKILI
Watu wanaogopa kufa na wanaogopa wakifa wataenda wapi . Apo tu ndio kuna tatzo, ukitaka kujua hawa watu wa dini wanaishi kiunafki nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasira ndio utajua wanathibitisha vipi kwamba hakuna Mungu , ila kuna kaunafki .
 
Unasema Mungu hayupo alafu wakati huo huo unavuta oksijeni wala hauhoji imetoka wapi 😄 unapanda unavuna wala hauhoji jua mvua vinatoka wapi, usiku unaona mwezi nyota unàdhani mjomba wako aliweka pale 😄 huu nao ni aina nyingine ya uwendawazimu. Elimu muhimu sana
Wewe unaamni Mungu yupo wala hauhoji ametokea wapi .?😄 Na unamaini kabisa amekaumba na kashetani ili ajipe umuhimu wa kuwa Mungu😄
 
Watu wanaogopa kufa na wanaogopa wakifa wataenda wapi . Apo tu ndio kuna tatzo, ukitaka kujua hawa watu wa dini wanaishi kiunafki nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasira ndio utajua wanathibitisha vipi kwamba hakuna Mungu , ila kuna kaunafki .
😂😂😂
 
Ebu elezea hiyo hoja upatiwe msaada taratibu, maana labda unahitaji elimu ndogo sana ili upate utambuzi
Kwa hivyo unakubali kwamba ulikuwa umedandia treni kwa mbele kufikiri napinga uwepo wa Mungu kwa sababu siwezi kumgusa wakati hata huelewi sababu zangu za kupinga uwepo wa Mungu?
 
Kitu gani kipo ila unahisi hakiwezi kutambulika na milango mitano ya fahamu ?
Hapa ndipo shida inapoanzia. Kwa hiyo swala ni milango mitano ya fahamu? Kama aliyekutengeneza aliamua kuopt kukuacha na milango mitano ya fahamu, vipi kama kuna mlango wa sita, saba, nane..... hiyo mingine iliyopo unaifahamu? Sasa kama issue kama hiyo hauna majibu yake, unathubutu vipi kumhoji huyo aliyeamua iwe hivyo? Wewe unajua yeye amebaki na milango mingapi?
 
Wewe unaamni Mungu yupo wala hauhoji ametokea wapi .?😄 Na unamaini kabisa amekaumba na kashetani ili ajipe umuhimu wa kuwa Mungu😄
Ukifungua tu macho na kutazama wala hauna haja ya kuhoji kama yupo au hayupo! Jibu lipo wazi kabisa! Kuhusu utendaji wake hizo na akili na makusudi yake ambayo siwezi kuhoji!
 
Back
Top Bottom