Ndiyo maana nasema elimu ni muhimu. Incubator zinatotolesha kwa theories ambazo ni scientific ambazo zinadhihirisha uwepo wa Mungu, kama unabisha basi tengeneza kifaranga chako bila kutotolesha!
Akili zako ndogo sana, Nikajua walau utazungumzia Voyager 1 & 2 ambazo zimeenda mpaka interstellar mission, unazungumzia Neil Armstrong aliyefika hapo mwezini ambapo haifiki hata robo ya robo ya robo ya robo ya robooooo ya alpha centauri ambayo ndiyo nyota ya karibu zaidi!
Kwa hiyo unadhani hii mifumo imejianzisha tu yenyewe na kujiset in motion? Ndiyo maana nasema elimu tu ndicho kitu umekosa! Hata gravity ambayo inakushikilia wewe usidondoke haipo kwa bahati mbaya! Ni akili kubwa mno imetumika! Achilia mbali hizo DNA na RNA! Unazungumza nini wewe!