adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Naunga mkono hoja yako.Shida hapo ni viongozi ama nyie wananchi mnaojirundika Dar kwa ajili ya jina?
Sidhani kama aliyeanzisha uzi ana akili timamu
Naunga mkono hoja yako.Shida hapo ni viongozi ama nyie wananchi mnaojirundika Dar kwa ajili ya jina?
Sidhani kama aliyeanzisha uzi ana akili timamu
Nimeongea fact ila we umechangia pumbaHuyo ni muisrael anataka kujitanua au ana nyumba anambiwa ipo mkoa wa pwani instead of dar
Sasa hoja yako ni nini?Huko porini kwenu kisemvule utafananisha na kibaha hivi unaakili timamu kweli
Sio Kibaha tu, mkoa wote wa Pwani ulikua ni sehemu ya Dar es Salaam kabla ya 1978.Kibaha ingefaa iwe dar tu kutokana na ukaribu
We akili zero kweli eti kisemvule kunaenndelea Kwa Kasi hahahaha sikujibu tena 🤣🤣🤣🤣Sasa hoja yako ni nini?
Ukaribu na stand ya magufuli au kuendelea?
Watu wamekudharau kwa kujenga hoja mfu isiyo na mbele Wala mtizamo wa kifalsafa.
Kisenvule ni sehemu inayoendelea kwa Kasi na sio makao makuu ya mkoa Wala wilaya wala kata.
Kwa Sasa imeunganishwa na daladala za moja kwa moja mpaka kariakoo, posta, Tandika, Kigamboni yaani ni integral part of Dar es salaam ukioondoa utawala.
Makao makuu ya wilaya ya Mkuranga yapo Mkuranga mjini ambako pia zimebaki kuunganisha maeneo machache Ili mkuranga rasmi iwe mjini mapaka Dar es salaam.
Hivyo kwa mtu mwenye akili timamu lazima take kuunganisha makao makuu ya wilaya na Jiji la Dar es salaam.
Kutokea Mbagala kwa Mkuranga
Kutokea Chanika kwa Kisarawe
Bagamoyo kutokea Bunju
kibaha kutokea Kibamba
Na mafia kwa kuanzisha usafiri wa uhakika kutokea feri.
Sasa wewe wakuja ndio unahisi ni kibaha ndio kunastahili, hapo ni Makao makuu ya mkoa wa pwani, ambako maendeleo yake yanakuja kwa mtindo wa kinyonga
Duuh basi hatariSio Kibaha tu, mkoa wote wa Pwani ulikua ni sehemu ya Dar es Salaa kabla ya 1978.
Unataka viongozi wetu wa dis NYERERE alie utenganisha? je sababu zake zimeondoka hazipo tena?
Mi wa Mrogoro niseme nini tena?Mkoa wa Pwani ugawanywe
Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.
Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.
Mikoa miwili ya Tanzania bara yaani Morogoro na Tabora iwe mikoa ya Viwanda vikubwa/vizito zaidi na technologia ya majeshi yetu na taasisi nyingine kama za matibabu.
Hapa naamanisha Viwanda vizito vyote visiendelee kujengwa Mkoa wa Pwani tena bali vielikezwe Morogoro na Tabora na Viwanda vyepesi viendelee kujengwa Mkuranga kama eneo la rasmi la Viwanda, huku Bagamoyo, Kibaha na Kisarawe yawe makaazi tu lakini serikali ipime maeneo hayo yote ili kuepuka ujenzi holela wa makaazi, hii inalenga upanuzi wa Jiji la Dar Es Salaam.
Serikali ichore ramani mpya ya Dar Es Salaam ikiunganisha Halmashauri hizo katika miundombinu ya Barabara za kisasa, Reli, umeme, Maji, pia serikali itenge eneo kubwa zaidi kule Kisarawe kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mwingine wa ndege, yawezekana miaka 50 mpaka 70 ijayo kutoka leo uwanja wa ndege wa Mwalimu Julias Nyerere utazidiwa kutokana na maendeleo makubwa na upanuzi wa miundombinu ya usafiri wa Anga.
Viwanda vyote ambavyo vimejengwa tayari Mkoa wa Pwani vibakie hivyo hivyo na/au vinaweza kuhamishwa hasa vile vizito na kuelekezwa Morogoro na Tabora.
Morogoro iwe sehemu ya kilimo cha kimkakati na Viwanda vikubwa/vizito ikiwemo na taasisi za utafiti wa kisayansi za majeshi yetu na technologi nyingine zielekezwe Morogoro na Tabora.
Na, Nicolas J Clinton Gabone
Kwa sababu hizo akili za kujibu unazitoa wapi?We akili zero kweli eti kisemvule kunaenndelea Kwa Kasi hahahaha sikujibu tena 🤣🤣🤣🤣
Mmh,lini wewee,🤣🤣🤣Morogoro ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam
Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?
We mwenye nyingi una utajiri kiasi gani dunianiKama hii ndio hoja yako basi una akili ndogo sana
Msichanganye kati ya Jimbo la mashariki na mkoa wa pwani?Morogoro ilishawahi kuwa ndani ya dar es salaam
We mwenye nyingi una utajiri kiasi gani duniani
Na kinyume chake ni vivyo hivyo😎Kibaha ni wilaya dar es salaam ni mkoa
Huwezi kuwa mjinga na unapesa mjinga ni kama wewe ambae huna pesa yaani huna akili ya kuipata pesa ndio ujinga mkuu dunianiUtajiri sio kipimo cha akili nyingi. Unaweza ukawa tajiri na bado ni mjinga
Huwezi kuwa mjinga na unapesa mjinga ni kama wewe ambae huna pesa yaani huna akili ya kuipata pesa ndio ujinga mkuu duniani
SGRAcha uongo umetumia kipimo gani?
Ukichangia kwenye Uzi wa mtoto basi we unakua kubwa jinga itoshe kusema wewe umekua mwili akili zeroNa ndio maana uzi wako unaonyesha kina cha ujinga wako. Uzi wa kitoto sana
Tembea kwa mguu upime umbali wa safari
Hizi mambo ulizoandika kwenye uzi ni upumbavu mtupu. Una hoja za kijinga sanaUkichangia kwenye Uzi wa mtoto basi we unakua kubwa jinga