Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
- Thread starter
- #121
Miaka hii Bado unapima umbali kwa miguu kweli mtu mweusi ni nyaniTembea kwa mguu upime umbali wa safari
Miaka hii Bado unapima umbali kwa miguu kweli mtu mweusi ni nyaniTembea kwa mguu upime umbali wa safari
Mjinga ni yule anaebweka hivyo bila sababu kama wewe binti jinpingHizi mambo ulizoandika kwenye uzi ni upumbavu mtupu. Una hoja za kijinga sana
🚮 🚮 🚮Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli,
💩 💩 💩Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?
Kiufupi tuchague tuwe na mkoa mmoja tu Dar/Pwani zingine siasa.Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?
Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, Bora i Dar es Salaam ipanuliwe kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo.
Wajinga wanapandisha nauli kirahisi kwasababu eti mkoa mwingine unakuta sehemu karibu ila nauli mlimaIpanuliwe taratibu mpaka Lindi nayo iitwe dar ili nauli kutoka dar-Lindi iwe chini sababu ni ndani ya dar.
Miji iende vertical badala ya horizontal. Dar ingeenda vertical inavyotakiwa huenda isingekuwa imepita Manzese tukasave ardhi kwa matumizi mengine muhimu badala ma-slums kuenea hadi Mlandizi huko.Kwa hali ilivyo ndani ya miaka 50 ijayo lazima Dar es Salaam itaongezewa ardhi
Ndiyo!Sio hoja,na wanaokaa Morogoro wanafanya KAZI Dar kesho Moro nayo tuifanye iwe dar
Hoja zake hazina mashiko.Ipanuliwe taratibu mpaka Lindi nayo iitwe dar ili nauli kutoka dar-Lindi iwe chini sababu ni ndani ya dar.
Dar iwe jimbo. Mikoa ya Pwani, Dar,morogoro na Tanga ziunganishwe liwe jimbo moja, Dar es salaam State.Morogoro mbali sana Chalinze Bagamoyo nazo ziingizwe Dar
Tuvumiline boss.Hoja zake hazina mashiko.
Huyu angetakiwa abaki huko face mpaka atakapo kuwa na kukomaa
Kwanini isiwe pwani?Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?
Maana naona kutoka Kibaha mpaka Mbezi Magufuli ni karibu kuliko kutoka Kariakoo mpaka Mbezi Magufuli, ambapo ndio kituo kikubwa cha mabasi Tanzania. Aisee, Bora i Dar es Salaam ipanuliwe kwa kuchukua ardhi ya Kibaha, maana hata daladala zinapandisha nauli kila siku kwa kigezo cha Kibaha kuwa mkoa mwingine, wakati unakuta umbali ni mdogo.
We need maximum of 15 regionsDar iwe jimbo. Mikoa ya Pwani, Dar,morogoro na Tanga ziunganishwe liwe jimbo moja, Dar es salaam State.
cas ni mikoa pia inayoendana pakubwa sana hata kwa baadhi ya maswala.
Hebu tuachane na upuuzi wa mikoa[emoji34]
Wakuu wa mikoa ni cheo ya kipumbavu sana na kimewekwa kisiasa tu, tuwr na majimbo machache ili kuondoa huu upumbavu wa wakuu wa mikoa na wilaya cas ni kuharibu tu pesa za waTanzania[emoji34]
Pamoja na kutumia lugha kali, lakini upo sawaSidhani kama aliyeanzisha uzi ana akili timamu
Unaakili timamu kweli Mimi nimetaja wilaya ya kibaha we unataja mkoaKwanini isiwe pwani?
Tafuta hela wewe unataka kujenga ghorofa halafa hela zenyewe za manati masikini bhanaPamoja na kutumia lugha kali, lakini upo sawa