Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Alichokosea ni Neno Dharau lakini kumuona wa kawaida kuliko mwanzo ni Nature hadi kwa wanyama!

Nikuulize wewe kwahiyo humuoni wa kawaida? Kama ndivyo haupo kamili yaani hata yeye ukiumuuliza atakwambia kabisa kipindi unanichumbia nilikuwa nakuogopa sana ila sasa nimekuzoea (Normal)

Hapo mwanzo hata kujamba mbele yake ulikuwa huwezi kwa sasa unaweza fanya hivyo au hta yeye kuvua mbele yako alikuwa hawezi licha ya kwamba umemuoa lakini kwa sasa anafanya hayo.

Kama alifanya hayo akiwa na ugeni wake basi jibu unalo na linalingana na langu alikuwa Malaya before you!
sasa wewe unaelezea kitu ambacho yeye hajasema Hayo uliyoandika sio kwa mke tu kuna Bond ukishatengeneza Na mtu ile ya mwanzo inaondoka.

Yeye anasema akishamla tu basi anaanza kumdharau na Kumuon wa kawaid tu ndio nikamwambia tendo halondoi thamani bali linaongeza labda tu kama hakukuwa na hisia ulisukumwa na mihemko au ulikuwa unatafuta ushindi au kama unaona Kumla mwanamke n jambo kubwa sana la kifahari yaani ni sehemu ya mafaniko yako
 
sasa wewe unaelezea kitu ambacho yeye hajasema Hayo uliyoandika sio kwa mke tu kuna Bond ukishatengeneza Na mtu ile ya mwanzo inaondoka.

Yeye anasema akishamla tu basi anaanza kumdharau na Kumuon wa kawaid tu ndio nikamwambia tendo halondoi thamani bali linaongeza labda tu kama hakukuwa na hisia ulisukumwa na mihemko au ulikuwa unatafuta ushindi au kama unaona Kumla mwanamke n jambo kubwa sana la kifahari yaani ni sehemu ya mafaniko yako
Mtazamo wake upo hivyo na yuko hivo (yeye) lkn haindoi kumchukulia wa KAWAIDA hata kama ni mke wako!

Sikia mimi kipindi nataka kuoa nilikua nikipata mwanamke nikidumu nae tu kwenye mahusiano (hata bila ngono) namuona wa kawaida sana kisha nasema sasa huyu namuona hana maajabu nitawezaje kuishi naye maisha yote ikiwa tu kwa sasa naona kabisa kama ananichosha?

Uzuri nilimwambia bibi yangu upande wa mama hiki ninachopitia....kisha nikamuuliza na mzee wangu majibu yalilingana.

Siku moja nasikiliza tena masomo ya ndoa kutoka kwa mchungaji wa kisabato anaitwa David mmbaga naye alichokisema ni kilekile nilichoambiwa na bibi na baba!

Kuna mchungaji mwingine mzungu wa marekani naye ni msabato jina somebody finely la mwanzo nimesahau katika mafundisho yake sijui kama alikuwa anahubiri au alikuwa na mkutano hukohuko kwao USA alimtolea mdano mke wake kuwa aliwahi kumuuliza kwanini kipindi unaniposa na sasa si kama hapo awali.....jamaa alisema nilimuhurumia mke wangu nikamtazama kwa upole kisha nikamwambia ukweli kuwa sisi ndivyo tulivyo kwa sasa nakuona kama mama yangu nakupenda kama mama pole na nielewe(naweza kukoswa kiswahili sahihi cha kuandika kama alivyosema maana ni mzungu ila maana yake inakuja hivyo ukitaka kumwambia mtu kwa kiswahili aelewe)

Baada ya mimi kuoa tena binti alikuwa mdogo akiwa bado..... lkn hakutoboa miezi 3 nikamuona wa kawaida tu japo kwa wengine ni tishio hadi leo!

Sisi tunao fuga mifugo mambo yako hivyo tena iwe kwenye kuku ukileta koo majogoo yatafukuzana mnoo.

Nenda shuleni akihamia msichana awe mzuri au wa kawaida si walimu si wanafunzi walikuwa wanafukizia vibaya mno ila baada ya muda ilikuwaje?

Nahitimisha kwa kukwambia kipya I kipya na kikukuu si kama kipya la hasha!
 
Ndio ujue kuwa wanawake hawana shida, shida iko kwako.

You can not pour from an empty cup, Kama ndani yako huwa uwezo wa kumthamini mwanamke, kulala nae haiwezi badilisha hiyo notion. Hii inaeleza kwanini ukishalala nae unamshusha thamani/unaanza kumdharau…. ni kwasababu toka mwanzo haukumthamini ilikuwa excitement yako tu… Dopamine.
 
hiyo ndiyo tofoauti kati ya uzinzi na relationship, ukiwa kwenye mahusiano na mtu permanent kila tendo linazidi kuwaleta karibu, kujuana zaidi na upendo kuongezeka, hivyo uchofanya wewe ni uzinzi ndiyo maana unajitesa na kuteseka hivyo ...
 
Mwanaume yeyote yule mzima humchukulia maanani au uthamani mwanamke wake ndani ya siku90 tu yaani miezi3 tu hata kama ni mke wake.

Baada ya hapo anamuona wa kawaida tu hata kama angekuwa mzuri kiasi gani.

Hii si kwa sababu ni mbaya au sijui hamtaki la hasha sisi automatically tuko hivyo.

Kwa ndani ya kipindi hiko wapo ambao ni kama mwachiluwi ambao wao hata siku1 tu humtosha kumchukulia poa mwanamke huyo!

Wengine akimkula mara3 hata bao zinaanza kupungua idadi alikuwa anampa bao6 basi zinaanza kushuka hadi3!

Na sio kwamba hampendi la hasha anampenda sana na hapo mwanaume huanza kutoka nje ya ndoa yake si kwq sababu mke wake ni mbaya au hajui mapenzi umekuwa wa kawaida sna kwake!

Tofautisha uzinzi au ulivyosema wewe kuwa jamaa hawezi kuoa kwa sababu mwanamke anamchukulia wa kawaida la hasha.

Nitakupa mfano.

Mwanaume anapokutongoza anakuwa tyr kukuhonga kitu chochote kulingana na uwezo wake.

Lakini punde tu akishakukula kwanza ataanza kusema yaani mimi ni wa kumuhonga laki 5 huyu ? Asee anajuatia sana.

Kifupi tofautisha kumuona wa kawaida kama mwanzo na umalaya!
Endeleeni kuhangaika mpate magonjwa yasiyotibika kisa mnatafuta vitu vipya Kila siku.
 
Usiseme unamdharau, sema unamuona wa kawaida.

Ukweli ni kuwa hata wao huwatokea hiyo hali

Mhimu ni kuwa kiwango hiki cha kukinai kinatofautiana toka mtu hadi mtu, siyo uniform

Kuna wanaume wanaojua kupenda na kuna ambao hata hawaoni sababu ya kuwa kwenye mahusiano
 
Hata mwanamke nae atakuona hivyo baada ya ku imagine kwa mda mlefu kwa kukuona kwa njee baada ya kuvua nguo na kukutana na mauza uza yako anachoka mwili na roho ,kama pesa ipo ata act lakin kimoyo moyo au kule kwenye group anakunanga 😁😁🙌
 
Back
Top Bottom