Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Sema kimeumana 😄😄...Kila kitu kinajengwa na mazoea,naamini unaposikia story hii mtandao I,kijiweni n.k hata ww mwenyewe ukiipitia unakuwa hivo hivo kama ulivyosikia
 
Vipi upande wako ulivyovuliwa ulijihisi mrembo umeweza kumpagawisha uliyekua unammezea mate au ulikata Kiu yako kisha ukamtapika?
 
Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata?


Hii ni kwangu tu au
Sababu kubwa wanaume huwa tuna matarajio ...mf -demu kakuzungush sana halafu siku ukienda NAE unakuta hana ufundi wowote
-Mtoto wa kilokole/ muislamu mshika dini amekuzungusha muda mref kujifanya hajui hayo mambo halaf siku akikupa mbususu break inakuwa pumb
 
Yaleyale kama ya yule mchungaji sijui nani yule Shoboka.....Kuweni na akiba ya hisia na maneno vijana.
Huo upya upya vipi ndugu na wakati hakuna kipya chini ya jua
 
Ni kawaida tu mjuba, tena ukishamla unamdharau kabisa na kuanza kujisemea kwa nini umemla. Thamani yake inashuka hata kama ni pisi kali unaanza kuona ana kasoro nyingi
Na huu ndio ukweli, wanajifanya kumpinga mleta mada tu hapa.
 
Back
Top Bottom