Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata?

Hii ni kwangu tu au
Inaonekana wewe unafanya sex kwa sababu ya kuwaka tamaa, kukidhi haja za mwili wako na siyo kupenda. Pengine ni mazingira uliyokulia au huna uwezo wa kuwapata wale wanawake wa grade A.
 
Ni ukweli mkuu c ushalamba mbususu,ana kipi tena jipya kwako.Si unatafuta mwingine na unaendelea na huo mtindo.si unajua wahun huwa hawapend wanataman tuh tukisha pata mzigo tunapotea
 
Umalaya tu Mkuu watu aina yako ni ngumu sana Kuoa. Ukishaona unamdharau mwanamke kisa umemvua Kyupi Jitahidi sana kubadilisha huo mtazamo sio jambo jema wala sio Utu.
Mwanaume yeyote yule mzima humchukulia maanani au uthamani mwanamke wake ndani ya siku90 tu yaani miezi3 tu hata kama ni mke wake.

Baada ya hapo anamuona wa kawaida tu hata kama angekuwa mzuri kiasi gani.

Hii si kwa sababu ni mbaya au sijui hamtaki la hasha sisi automatically tuko hivyo.

Kwa ndani ya kipindi hiko wapo ambao ni kama mwachiluwi ambao wao hata siku1 tu humtosha kumchukulia poa mwanamke huyo!

Wengine akimkula mara3 hata bao zinaanza kupungua idadi alikuwa anampa bao6 basi zinaanza kushuka hadi3!

Na sio kwamba hampendi la hasha anampenda sana na hapo mwanaume huanza kutoka nje ya ndoa yake si kwq sababu mke wake ni mbaya au hajui mapenzi umekuwa wa kawaida sna kwake!

Tofautisha uzinzi au ulivyosema wewe kuwa jamaa hawezi kuoa kwa sababu mwanamke anamchukulia wa kawaida la hasha.

Nitakupa mfano.

Mwanaume anapokutongoza anakuwa tyr kukuhonga kitu chochote kulingana na uwezo wake.

Lakini punde tu akishakukula kwanza ataanza kusema yaani mimi ni wa kumuhonga laki 5 huyu ? Asee anajuatia sana.

Kifupi tofautisha kumuona wa kawaida kama mwanzo na umalaya!
 
Kujiendekeza tu mimi mke wangu nimeanza kuishi naye muda san sahivi tuna miaka akribu sita ya kuishi pamoja hiyo hali mbona isinitokee? Ni kujendekeza na kujifanyisha tu kwamba unamuona wa kawaida hata kwenye kazi kuna mtu akishapata kazi basi anaanza kuleta mazoea siku za mwanzo anajitahidi kuwahi, kupiga kazi ila akizoea analeta amzoea.

kama hakukuwa na connection ya kihisia kabla ya tendo, Kumvua Nguo huongeza kilichokuwepo tayari; halijengi dharau bali inaongeza thamani

Nasisitiza tena ni Kujiendekeza badili mtazamo kila siku mpya Muone mpya Fanya naye vitu Vipya, Utani wa hapa an pale Shida wanaume wengi tunaona Kumvua chupi mwanmke ni jambo Kubwa san ndio maana wengine siku ya Kwanza au ili ampate mwanamke yupo tayari hata kuuza kiwanja amhonge ili tu apate K. Huo ni ulimbukeni na Ujinga
 
Mwanaume yeyote yule mzima humchukulia maanani au uthamani mwanamke wake ndani ya siku90 tu yaani miezi3 tu hata kama ni mke wake.

Baada ya hapo anamuona wa kawaida tu hata kama angekuwa mzuri kiasi gani.

Hii si kwa sababu ni mbaya au sijui hamtaki la hasha sisi automatically tuko hivyo.

Kwa ndani ya kipindi hiko wapo ambao ni kama mwachiluwi ambao wao hata siku1 tu humtosha kumchukulia poa mwanamke huyo!

Wengine akimkula mara3 hata bao zinaanza kupungua idadi alikuwa anampa bao6 basi zinaanza kushuka hadi3!

Na sio kwamba hampendi la hasha anampenda sana na hapo mwanaume huanza kutoka nje ya ndoa yake si kwq sababu mke wake ni mbaya au hajui mapenzi umekuwa wa kawaida sna kwake!

Tofautisha uzinzi au ulivyosema wewe kuwa jamaa hawezi kuoa kwa sababu mwanamke anamchukulia wa kawaida la hasha.

Nitakupa mfano.

Mwanaume anapokutongoza anakuwa tyr kukuhonga kitu chochote kulingana na uwezo wake.

Lakini punde tu akishakukula kwanza ataanza kusema yaani mimi ni wa kumuhonga laki 5 huyu ? Asee anajuatia sana.

Kifupi tofautisha kumuona wa kawaida kama mwanzo na umalaya!
Upo sahihi kabisa ume pita mule mule
 
Back
Top Bottom