Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Punguza matarajio makubwa, ukiweka matarajio na kutengeneza picha Yako kichwani ya show Kali ya peponi wote utawadharau tu.
 
Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata?

Hii ni kwangu tu au
Mbaya zaidi kama kakusimbua sana. Hadi akikupa mbo.o hasimami 😂 😂. Unaweza jihisi huna nguvu za kiume kumbe ni stress tu. Afu ukitafakari alivyo kusumbua hadi hamu inaisha
 
baadhi ya wanaume huona “kumvua nguo” mwanamke ni kama kama ushindi. Baada ya ushindi, interest inapungua. Ni psychology ya chase. Kikubwa ni Kujua tu kumvua kyupi sio ushindi wala sio ujanja ni Hisia na upendo tu mkuu
nhk
 
enzi hizo nikiwa kidato cha pili tulishindana kula kwa level Anayeweza kuvua kyupi cha wa kidato au level za juu.

zilikuwa enzi utoto na ujinga, no protection aka kula mbichi au pekupeku.

nilikumbuka nikiwa napiga pdg(code) niliwaza sana nikiwa namuona mwl lecturer wangu tukimpunzisha mavumbini kwa sababu ya umeme.
 
Mbaya zaidi kama kakusimbua sana. Hadi akikupa mbo.o hasimami 😂 😂. Unaweza jihisi huna nguvu za kiume kumbe ni stress tu. Afu ukitafakari alivyo kusumbua hadi hamu inaisha
Wewe umenielewa mnoo
 
Back
Top Bottom