Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Kujiendekeza tu mimi mke wangu nimeanza kuishi naye muda san sahivi tuna miaka akribu sita ya kuishi pamoja hiyo hali mbona isinitokee? Ni kujendekeza na kujifanyisha tu kwamba unamuona wa kawaida hata kwenye kazi kuna mtu akishapata kazi basi anaanza kuleta mazoea siku za mwanzo anajitahidi kuwahi, kupiga kazi ila akizoea analeta amzoea.

kama hakukuwa na connection ya kihisia kabla ya tendo, Kumvua Nguo huongeza kilichokuwepo tayari; halijengi dharau bali inaongeza thamani

Nasisitiza tena ni Kujiendekeza badili mtazamo kila siku mpya Muone mpya Fanya naye vitu Vipya, Utani wa hapa an pale Shida wanaume wengi tunaona Kumvua chupi mwanmke ni jambo Kubwa san ndio maana wengine siku ya Kwanza au ili ampate mwanamke yupo tayari hata kuuza kiwanja amhonge ili tu apate K. Huo ni ulimbukeni na Ujinga
Daima ukweli husimama na kubaki vilevile!

Mimi mke wangu ninaye zaidi ya muda wako ulotaja hapa. Lakini kipindi namtongoza na sasa ni vitu viwili tofauti na sio kwangu tu hii ni automatically.

Huwezi kumuona mpya mtu ambae kila siku unaye na chupi zake zote unazijua rangi huo upya unatoka wapi?

Msiigize na kutuona sisi ama ni wazinzi sana ili hali unajua kabisa kitu usemacho sio kweli. Ama zaidi ya hilo basi umelogwa haupo sawa.
 
kwahiyo sasa Hivi unamdharau mkeo kisa alikupa K Sio. Utofauti unakuwepo lakini sio kwamba unamdharau maana malengo yanabadilika majukumu nk na kama limdharau kwanini Ulimuoa? ulioa mtu ambaye unamdharau na kumuona wa kawaida tu sio
 
Hizo dharau ndo zinasababisha watu kukomoana ndugu. Mfano umemalizana na afu ukaanza kumdharau atafanya juu chin ili na wewe akukomoe hata kwa gonjwa. Ukiona dharau inakuja automatically peleka kwa fundi akutengeneze uwe manual. Kama una mikikimikiki ya hatara na akavumilia mkamaliza wote salama huwez kumdharau hata cku na moja lakini kama n dk 2 pumzi inakata lazma umdharau kwa kuuvumilia udhaifu wako.
 
Sio kwelii
 
On contrary, imeshawahi kutokea scenario pia ambapo baada ya kumvua kyupi unatamani uendelee kuonana naye na uendelee kumvua kyupi. Pia, ukikutana na mwanamke kama huyo hata mkionana bila kumvua kyupi unakuwa unakuwa unafurahia company yake na unakuwa unatamani asiondoke na akiondoka unaanza kummiss hapo hapo.

Hao wapo wachache na inaelekea mtoa mada hajakutana nao. Hao ni "human medicine" akiongea, akicheka, akitabasamu, akikuangalia unaona paradise hii hapa!

Mkuu unadate watu wa namna gani ambao ukishapiga unatamani wapotee?? Tafuta ambaye anakuwa rafiki kwanza na mna mambo (hobbies) yanayoendana hata kwa uchache
 
Daima ukweli husimama na kubaki vilevile!

Mimi mke wangu ninaye zaidi ya muda wako ulotaja hapa. Lakini kipindi namtongoza na sasa ni vitu viwili tofauti na sio kwangu tu hii ni automatically.

Huwezi kumuona mpya mtu ambae kila siku unaye na chupi zake zote unazijua rangi huo upya unatoka wapi?

Msiigize na kutuona sisi ama ni wazinzi sana ili hali unajua kabisa kitu usemacho sio kweli. Ama zaidi ya hilo basi umelogwa haupo sawa.
Hii ni kweli huyo jamaa anakomaa tu. Utaendelea kumpenda ila hali haiwezi kuwa kama pale mwanzo. Na kinachofanya sasa kuendelea inategemea pia na mwanamke naye yukoje na anakuchukuliaje
 
Ukijiona hivo ujue wewe umezoea kununua malaya(dada poa) kwaiyo huwez kuona thaman ya mwanamke,wewe kwako thamani ni lile shimo na ndio maana ukishalikojolea unaanza kulitoa kasoro...mara utasema pana,mara lina maji,et linanuka,hajanyoa,mara mkavu sana loh.....
Tafuta mwanamke mmoja mfanye demu wako,mfanye malaya wako,danga lako,mhonge hela zote,mnyonye mpaka nyuchi yake,mgeuze stail zote nakwambia itachukua muda kumchoka
 
Ndomaana katika uislam mwanaume anatakiwa kuona wanawake wawili kwa mpigo kwa mara ya kwanza kisha anaweza akaongeza watatu kisha mwingine wa nne.
Sababu ni hii,ili akili yako isiwachoke hao wanawake.
Ukianza na wa kwanza,kisha ukaenda wa pili,wa tatu kisha wanne...ukimaliza mzunguuko huu yule wa kwanza automatic anarud kuwa mpya katika akili yako na utamtamani tena...unaanza tena mzunguuko,huwezi kuwakinahi.
Iwe ndoa halali lakini.
 
Ukijiona hivo ujue wewe umezoea kununua malaya(dada poa) kwaiyo huwez kuona thaman ya mwanamke,wewe kwako thamani ni lile shimo na ndio maana ukishalikojolea unaanza kulitoa kasoro...mara utasema pana,mara lina maji,et linanuka,hajanyoa,mara mkavu sana loh.....
Tafuta mwanamke mmoja mfanye demu wako,mfanye malaya wako,danga lako,mhonge hela zote,mnyonye mpaka nyuchi yake,mgeuze stail zote nakwambia itachukua muda kumchoka
Vyote naweza kufanya ila sio kunyonya uchi wa mwanamke
 
Hii ni kweli huyo jamaa anakomaa tu. Utaendelea kumpenda ila hali haiwezi kuwa kama pale mwanzo. Na kinachofanya sasa kuendelea inategemea pia na mwanamke naye yukoje na anakuchukuliaje
Baada ya muda huo kinachombeba mwanamke huyu kudumu na mwanaume ni TABIA yake na sio uzuri wake wala matako yake.
 
kwahiyo sasa Hivi unamdharau mkeo kisa alikupa K Sio. Utofauti unakuwepo lakini sio kwamba unamdharau maana malengo yanabadilika majukumu nk na kama limdharau kwanini Ulimuoa? ulioa mtu ambaye unamdharau na kumuona wa kawaida tu sio
Alichokosea ni Neno Dharau lakini kumuona wa kawaida kuliko mwanzo ni Nature hadi kwa wanyama!

Nikuulize wewe kwahiyo humuoni wa kawaida? Kama ndivyo haupo kamili yaani hata yeye ukiumuuliza atakwambia kabisa kipindi unanichumbia nilikuwa nakuogopa sana ila sasa nimekuzoea (Normal)

Hapo mwanzo hata kujamba mbele yake ulikuwa huwezi kwa sasa unaweza fanya hivyo au hta yeye kuvua mbele yako alikuwa hawezi licha ya kwamba umemuoa lakini kwa sasa anafanya hayo.

Kama alifanya hayo akiwa na ugeni wake basi jibu unalo na linalingana na langu alikuwa Malaya before you!
 
Back
Top Bottom