Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Mhmmm huwa naona , ila najiulizaga maswali naishia kunyamaza ila sio kawaida๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unajiuliza maswali gani khakhaa! Na akila zisizo na mbele wala nyuma napo namchambaaa wee kimtu hata hakieleweki!
 
Unajiuliza maswali gani khakhaa! Na akila zisizo na mbele wala nyuma napo namchambaaa wee kimtu hata hakieleweki unakua ulafi wa kumarr!
Na yeye tukitaka kumuibia wewe atakua kama wewe๐Ÿคฃ
 
Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata?


Hii ni kwangu tu au
Ashki majinuni
 
Back
Top Bottom