BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
uhuni ni tabia ya mtu haina uhusiano na bikini
Hi' wanajamii!
Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,?
Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi huwa nafurahi sana kumuona mtoto wa kike akiwa ameivaa.
kila vazi huendana na madhari...huwezi kuta mtu kavaa bikini then anakatiza mitaani. Vazi hilo huvaliwa sehemu husika kama kwenye fukwe,katika mabwawa ya kuogelea, mashindano mbalimbali kama ulimbwende,beach volleyball,chumbani au sehemu ya faragha. Sasa baada ya kujaribu kuyabainisha hayo mazingira binafsi sio mahali panapotoa picha ya uhuni
Context ni mwilini mdau!
Sasa chumbani bikini ya nini tena wakati anapaswa kuvaa kanga moko?
uhuni ni tabia ya mtu haina uhusiano na bikini
Muhuni utamjua tu kwa tabia na matendo yake.
Yaani afadhali hata umeuliza maana hata mimi natamani kufahamu bikini ni kitu gani?
Naomba nitambue jinsia yako kabla ya kukujibu!
Ina maana watu wanakatiza mitaa ya sanamu ya Bismini na bikini?.
Eee bwana mmmh kuna wengine wanavaa ndio kwa ajili ya (kambi popote) nadhani nimeeleweka hapo kwenye mabano, na kuna wengine wenzangu na mimi tunavaa endapo pale 2 tunapokutana na wapenzi we2.
Umeona eeh
Hiyo ni nguo ya ndani. Whether mtu kavaa bikini au boxer how can you judge wakati hutaiona???
Mimi nafagilia sana bikini kwa sababu kwa wadada wanaojua mavazi...ukivaa pichu za kawaida afu una mwili fulani from average tu kibonge...lazima ramani ya ilipopita pichu ionekane kwa nje. Lakini bikini hakuuu...hakuna atakayeona ramani hata uamue kuvaa skin tight.
Mimi huwa sipendi mtu aone pichu ilipopita hence bikini ndio swaga zangu. Na hutajua kama nimeivaa. Ni siri yangu na baba nanii..On top of that one feels more sexy in it kuliko boxer.
unavaa boxer pia?
Boxer si yale mapichu makubwa? Sina maana ya pichu za kiume.
i think hizo unazovaa wewe ni thong because bikini underwear inapita juu ya t*ko so mistari bado itaonekana...Umeona eeh
Hiyo ni nguo ya ndani. Whether mtu kavaa bikini au boxer how can you judge wakati hutaiona???
Mimi nafagilia sana bikini kwa sababu kwa wadada wanaojua mavazi...ukivaa pichu za kawaida afu una mwili fulani from average tu kibonge...lazima ramani ya ilipopita pichu ionekane kwa nje. Lakini bikini hakuuu...hakuna atakayeona ramani hata uamue kuvaa skin tight.
Mimi huwa sipendi mtu aone pichu ilipopita hence bikini ndio swaga zangu. Na hutajua kama nimeivaa. Ni siri yangu na baba nanii..On top of that one feels more sexy in it kuliko boxer.
Bikini ni nini?
i think hizo unazovaa wewe ni thong because bikini underwear inapita juu ya t*ko so mistari bado itaonekana...