Hivi kuvaa bikini ni UHUNI,,,,?

walk_of_life.jpg

Thong, ndivyo wanavyoziita hizi..................

Mshua, hii ni gstring banaa, thong inakuwa haifanyi ubakaji
(dada ana miguu michafu, umeona)
:behindsofa:
 
Bikini kama hii?..hamna uhuni wowote ni vazi maalum kwa mazingira maalum..umewahi kuona mwanamke kavaa kwenye harusi au kanisani?

jem%20bikini%20cutter%20set.jpg
 
mim wanawake wote wanao vaa bikin nawaona ni wahuni wa kutupwa?. Kwani wanawake wekileo hovyo kabisaa unamkuta mwanamke katinga bikini na suruali tight/ndembe ndembe au dera au nguo yoyote laini ambazo nyingine kama utaangalia kwa umakini na kwa ukalibu unaona mpaka ngozi ya makalio/****** ambayo si heshima kabisaaa.mim niliwahi mwona mwanamke 1 kavaa suruali lain kiasi kwamba huku nyuma imefyata /imeingia kwenye mfereji wa ******. Je hiyo ni heshima ya wapi?? Wavaao hizo chupi mi naona wapo kibiashara zaidi hasa ile ya kunadi TIGO.
 
LEGE,
Hapa kuna logic maana mimi naelewa kwamba lengo la kuvaa pichu ni kusitiri makalio hata unapotembea na mtu akivaa hiyo bikini au thong sijui inakua ni vigumu sana kuzuia shaking ya makalio na hata dhana ya kuyasitiri inaisha maana makalio yanakua wazi!
 
Hi' wanajamii!
Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,?
Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi HUWA NAFURAHI SANA KUMUONA MTOTO WA KIKE AKIWA AMEIVAA.

Ushaoa? Hapo kwenye herufi kubwa wapi? Mtoto wa kike? Mkubwa wa kike je? Au ulimaanisha?
 
Mbona hapo kati ana nafasi sana?

au ni kivazi tu ndio kimemtoa hivyo?

Sasa hii zi bora usivae kabisa?
Kama una makalio makubwa au tentemente hii ni sawa ha hakuna kitu
Bora kuacha kuvaa na kubandika kiplasta hapo kati tu ukajizoelea huna pichu

B37U-9411-womens-sexy-teardrop-g-string-bathing-suit.jpg

Hizi ndio G.STRING...............
 
Nadhani tunahitaji kutofautisha maana ya bikini, tong na g-string.
Nadhani wengi wetu inatusumbua hapo. Picha tafadhali Mtambuzi ama Asprin!

The bikini is typically a women's two-piece swimsuit. One part of the attire covers the breasts and the other part covers the groin and part of or the entire buttocks, leaving an uncovered area between the two. Merriam–Webster describe the bikini as "a woman's scanty two-piece bathing suit" or "a man's brief swimsuit."[SUP][1][/SUP] It is often worn in hot weather, while swimming or sunbathing. The shapes of both parts of a bikini resemble women's underwear, and the lower part can range from revealing thong or g-string to briefs.

Hapo kwenye RED hapo, tuelewane kidogo:

1. Upper part inafunika "breasts"
2. Lower part inayofunika "buttocks"

so hiyo piece ya chini ndio kuna two types THONG au G-STRING

Bikini - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom