Hivi kuvaa bikini ni UHUNI,,,,?

Hivi kuvaa bikini ni UHUNI,,,,?

Hahahahaaaaa! Umenikumbusha lile kundi la Khanga Ndembendembe , Khanga Moko, Laki si Pesa, Milioni Deni
Woooooow,i cant believe my eyes Kubwa la maadui umerudi?.ulikuwa wapi mrembo wewe?,bila wewe jukwaa halikamiliki mamii,yaani tumekuulizia sana,kwa nini umetukatili kiasi hicho?,usiwe unapotea muda mrefu mamii,wewe ndio kiboko yetu woote humu.
 
Over my dead body!!!

IMG_20170102_062944_096.JPG
 
Back
Top Bottom