min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,589
We husikilizi vzr sijui! Umeambiwa utapewa nguvu ya watu mia upewe bibi 40 kipi kichina hapo?
We husikilizi vzr sijui! Umeambiwa utapewa nguvu ya watu mia upewe bibi 40 kipi kichina hapo?
Kama hataki tumuone basi atuache na maisha yetu, ikiwezekana huo moto wa milele auzime kabisa huko ulipo.Tumuone Ili iweje? Bora hata hataki maana binadamu tuna mambo ya ajabu ajabu, mazoea ndo usiseme!
Na wanawake huko peponi watapewa zawadi gani kama wanaume watapewa vimwana super 72 kwa kila mmoja?Sio kila mwanaume starehe yake ni wanawake wengi ila watapewa hao wanawake kama zawadi anyway
Mbaya zaidi nasikia wanakuja wanawake wazuri tupu, maana yake Mungu anajua wanaume wengi wanapenda wanawake wazuri
Sasa wanawake ambao society inawa term kama wabaya watajisikiaje kujua kuwa hata peponi hawana soko?
View attachment 3552364
😂😂 Sasa huko si hakuna haja ya ndoa maana mnaishi milele anyway na hakuna dhambi, yani ruksa kupeleka moto unavyotakaHuko kwingine hakuna kuoa wala kula ila ni harusi moja tu ya mwana kondoo , just imagine ni harusi moja tu na hakuna kula kunywa wala nyie wengine hamruhusiwi kuoa
Uko hapa, au umekuja hapa katika huu ulimwengu kwa kazi moja tuu ambayo ni KUJIFUNZA.Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Wapi ulishuhudia akimchoma mtu moto?🙄😲😲Aisee. Mungu si anipe hata ishara moja tu ambayo iko direct ili niamini kuwa tunapaswa kumwabudu 😔
Huwa sielewi wanyama wengine anawaacha waishi wanavyotaka ila sisi binadamu tu ndio anataka tumuabudu na isitoshe anatuchoma tusipomwabudu. Not fair
Thubutuuuu!...peponi ni mwendo wa kupiga makofi mpaka yawake cheche🤣🤣🤣...full kuabudu, kusifu na kutukuza, halooo, kazi bado ipoooHivyo ni vyakula vya peponi ukivila duniani ni ulafi na dhambi
Si wanatuambia wadhambi wote tunaenda kuchomwa moto wa milele 😂 😂Wapi ulishuhudia akimchoma mtu moto?🙄😲😲
🙌 hii haina cameback 😆View attachment 3552382
Humu tuu😌
Pambana basi hata ufanikiwe, ni unakula za uso tu, mwendo wa kusuffer🤔🙄Inashangaz kwel mkuu,unpambana mwishowe unakufa
Hii ni adhabu ukiitafakari kiundani😃Thubutuuuu!...peponi ni mwendo wa kupiga makofi mpaka yawake cheche🤣🤣🤣...full kuabudu, kusifu na kutukuza, halooo, kazi bado ipooo
Hizo ni storee wewe...hakuna kitu kama hicho, kwanza hana huo mda, ana kazi nyingi sana!Si wanatuambia wadhambi wote tunaenda kuchomwa moto wa milele 😂 😂
Mamilioni ya watu wanaamini hivi so najiuliza kwa nini anatuchoma moto.
Binafsi naona angepanga kutujibu maswali tunayojiuliza kwa muda mrefu, atuelezee maisha yana maana gani, na nini kilimu inspire kuleta maisha duniani. Ilikuwa ni experiment au ni nini. Vitu kama hivyo yani, atueleweshe kama marafiki badala ya kutuchoma moto juu ya vitu ambavyo hata hatuelewi vipo kwa ajili ya nini
tunaishi ili kukamilishi mfumo mkubwa unaofanya kazi, kwa mfano mwili ulivo kuna cells kuna mifupa, so na sisi ni sehem ya kitu flan kikubwa tupo hapa kukamilisha huo mfumoKwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Kama binadamu kaumbwa kuja kufanya ibada, kwa nini asiachwe aishi milele ili azifanye ibada vizuri???{ وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِیَعۡبُدُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 56]
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi
{ مَاۤ أُرِیدُ مِنۡهُم مِّن رِّزۡقࣲ وَمَاۤ أُرِیدُ أَن یُطۡعِمُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 57]
Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe
إِنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلرَّزَّاقُ ذُو ٱلۡقُوَّةِ ٱلۡمَتِینُ (58) }
[Surah Adh-Dhāriyāt🙂 Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti.58]
Umeumbwa ili uje kufanya ibada
Ndo maana dini inabidi uitazame kwa macho sita, maana storee ni nyingi sana! Binadamu ni kiumbe hatari sanaHii ni adhabu ukiitafakari kiundani😃
Acha ussenge mkuu 🤣Tupo duniani kupiga nyeto then tufe