aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,074
- 22,669
Kwa ufupi ruhusa imetolewa mkuu au mbona unazunguka 🤣🤣Waislam hawaruhusiwi Kula Nguruwe; ILA ikitokea mazingira kuwa hakuna chakula kiasi kuwa akiacha kula ATAKUFA; ameambiwa ale CHOCHOTE kinachopatikana katika mazingira aliyoko kwa kiasi kunusuru uhai...na akinusurika na hiyo hali atubu na kuomba msamaha.
Mara kadhaa unasikia waliofukiwa kwenye migodi wamekula mende, Vyura nk nk ili kunusuru uhai (Sio kwamba wanapenda kula mende au Vyura; ila wangeacha wangekufa)