Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 11,276
- 16,360
SawaNamsubiri akuje š
SawaNamsubiri akuje š
...isipokiwa mkiwa kwenye shida ruhusa!Alichokiharamisha Mtume (S.A.W) ni HARAM TU, sababu ya kumchukia ni kwasababu tuliamrishwa tusimchinje na kumla wala kumgusa, ni Kiumbe NAJISI
Hiyo ndiyo sababu.
Haram ni Haram...isipokiwa mkiwa kwenye shida ruhusa!
Sisi ni wakristo na hatuli nguruwe maana bible imekatazaila tuseme ukweli huyu mnyama namna alivyoumbwa sio wa kuliwa kabisa. hana hata shingo yani mwili wake umekaa hakuna pa kuchinja.
Hebu mfananishe nguruwe na ngombe au mbuzi au ngamia utaona kabisa hao wanyama wengine wameumbwa kwa ajili ya kuliwa sababu hata wana shingo ya kuchinjwa.
ndugu zangu msile huu ni uchafu. huyu mnyama ukimuacha utaondokana na maradhi mengi
WAMEKIMBIA .Weka summary mkuu, au external reference
Mimi sio mlokole,wakristo ni waumini wa agano jipya,hakuna popote ktk agano jipya nguruwe ametajwa kama haram.Weka hizo hints hapa kama unazo ,niliacha kuhojiana na walokole kwa chochote.
SawaMimi sio mlokole,wakristo ni waumini wa agano jipya,hakuna popote ktk agano jipya nguruwe ametajwa kama haram.
Ndo mtoa mada anauliza kitimoto ni haramu zaidi ya pombe?Waislamu hawachukii mnyama yoyote isipokuwa kitimoto kwa munibu wa Imani ya kiislamu ni haramu kula na hata kwa baadhi ya wakristo ni hivyo hivyo
Ni kama mimi ninavomchukia cristiano ronaldo....yaani sina sababu nimejikuta tu namchukiaChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Nasikia Wayahudi hawakubaligi kwamba Yesu alikuwa masihi (Kristo), wao wanamuabudu Yahwe, au Yehova, Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka ambaye pia ni Mungu wa baba yao, Mzee Israeli. Ila kuhusu Yesu wanakwambia masihi wao bado hajaja, ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia Yesu alikuwa mwanamazingaombwe tu!
Wamekusikia mkuuWAMEKIMBIA .
Mke wa Mungu ni (NENO LAKE) na watoto wa Mungu ni wote wazaliwao katika kulitii Neno la Mungu ...Yesu akasema "nenda zako shetani imeandikwa mtu hato ishi kwa mkate bali kwa kila neno litokalo kinywani mwa Mungu" hivyo wote wanao zaliwa kwa kulicha neno la Mungu ndiyo watoto wa Mungu ...Mungu akasema mimi leo nimekuzaa ...kuhusu Yesu siyo mtoto wa Mungu wala mtoto pekee wa Mungu, maana imeandikwa šNeno akafanyika mwili ,akaonekana šš"kama" mwana pekee wa Mungu...
......hivyo maandiko yanasema Yesu siyo mwana wa mungu wala mwana pekee wa Mungu bali alionekana kama mwana pekee wa Mungu...maana yake siyo ...sasa Yesu ni Nani ? Yesu anawauliza waisrael mbona mnaniita mwana wa Daudi ? Ikiwa Daudi mwenyewe aliniita ni Bwana wake? Nimekuwaje mwanawe ? Swali je Bwana wa daudi ambaye daudi alimwita Bwana mbinguni ni nani ? Jibu ni Mungu mkuu ...hivyo hapa Yesu alijifunua kuwa yeye ndiye BWANA WA DAUDI BWANA WA MUSA BWANA WA IBRAHIM BWANA WA YAKOBO(ISRAEL) BWANA WA MITUME NA MANABII WOTE Jagina FaizaFoxy Malaria 2 adriz Covax
Ni kama mimi ninavomchukia cristiano ronaldo....yaani sina sababu nimejikuta tu namchukia
Faith ana reasoning vinakosekana kwaoChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
mi mwenyewe nashangaa...binadam ndo tulivoumbwa....kuna kitu unakichukia tu bila hata sababu, huwez kucontrol....sanasana hua napotezea nafanya kama hakipo duniani nisienddelee kupata keroSasa hiyo chuki yako imekuongezea nini?
Tatizo la waislam wengi wanakariri QURAN kwa kiarabu bila kuelewa lolote lile!!!,ata wale watoto wanaoshindanishwa kusoma QURAN wamekariri tu{they know nothing bro},,,okay,,,,sio nguruwe tu aliyekatazwa,ata sungura,bata na samaki kama kambale wote wametakatatwa,,wao wamekomaa na kiti moto,,,ila kwa sasa wameanza kuamka,,,,,wengi wao WANAGEGEDA kiti moto balaa!!!Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Juzi tulikuwa na mjadala nilisema Mungu anaye mke waislamu mkaja mbio kunihoji niwatajie mke wa mungu ni nani ? Najua unakumbuka uzi ukafutwa ....mungu anayo familia na watoto na mke ila Yesu siyo mtoto wa Mungu wala mtoto pekee wa Mungu...
Analeta mambo ya walawi Tanzania š¤£š¤£Kwani wewe ni mlawi hadi useme imekatazwa?!