Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Mbona waislam wanaruhusiwa kula wakiwa na njaa?

Ishu n hv, wakristo wanafuata agano jipya hasa injili, agano la kale ni la kufanya marejeo tuu.

Mpaka hapo kuna ugumu kuelewa?
Semea dhehebu lako

Ila kwa wayahudi ni haramu

Sabato ni haramu

Vikundi vyote vya wakristo vya wayahudi ni haramu

Pia na waislamu

Kwahiyo kwao ni haramu kwako sio haramu kila mtu na mambo yake tu
 
Hakuna wakristo wa Wayahudi.
Bc na nyie mkimuona mtu anaabudu ng'ombe muwe wapole na muwaheshimi mana kila mtu yupo na imani yake.
 
Messianic jews ni kina nani?
Kuna mpaka wayahudi atheist kibao
Mpaka waislam wapo ,licha ya kuwa dini pia ni kabila.

Binafsi sihitaji kuamini chochote kuhusu imani za kidini mkuu
 
Kitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Kwani wewe ni mlawi hadi useme imekatazwa?!
 
Watu wanataka kuhusisha tamaduni zao na maisha halisi ya kiafrika
 
Kitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Sawa ostazi
 
Kati ya Yesu na Muhammadi ni nani aliye ruhusu ulaji wa nguruwe waziwazi ? Jibu ni Muhammadi...waislamu ni wanafiki na wapumbavu haswa....hao kina shekh mazinge ...shekh kishki shekh ponda...
Shekh shafii mbona wamejazana face buku na youtube ila hapa JF atuwaoni kutetea uislamu wamejificha kwenye vimitandaa vya wauza uchi ila haoa jf esu kutetea uislamu kwa sababu wanajua tupo watu wenye akili kwa kiwango kikubwa tofauti na huko .... adriz FaizaFoxy Jagina Malaria 2
Hakuna sehemu Yesu ameruhusu nguruwe hata kwa kificho , Yesu hajawahi kuruhusu ulaji wa nguruwe kuanzia mwanzo mpaka ufunuo
 
Watu wanataka kuhusisha tamaduni zao na maisha halisi ya kiafrika
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Hata hao watu wenu wa taifa teule wanachukia kitimoto mbona hamuwalalamikii
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!

Ungetaka kumkula yeye, hata kusingekuwa na shida. Lakini kumla kitimoto ndo shidaaa
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Mi mwenyewe nashangaa kweli yani.
 
Mbona waislam wanaruhusiwa kula wakiwa na njaa?

Ishu n hv, wakristo wanafuata agano jipya hasa injili, agano la kale ni la kufanya marejeo tuu.

Mpaka hapo kuna ugumu kuelewa?

Waislam hawaruhusiwi Kula Nguruwe; ILA ikitokea mazingira kuwa hakuna chakula kiasi kuwa akiacha kula ATAKUFA, ameambiwa ale CHOCHOTE kinachopatikana katika mazingira aliyoko kwa kiasi kunusuru uhai...na akinusurika na hiyo hali atubu na kuomba msamaha. Nafikiri hapo kwenye kula chochote ndipo watu wanaweka Nguruwe ili kuvutia wasikilizaji.
Mara kadhaa unasikia waliofukiwa kwenye migodi wamekula mende, Vyura nk nk ili kunusuru uhai (Sio kwamba wanapenda kula mende au Vyura; ila wangeacha wangekufa)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom