vyote vimekatazwaNdo mtoa mada anauliza kitimoto ni haramu zaidi ya pombe?
Suala la kipi kinapewa uzito ni mtazamo tu wa jamii
Mfano; Wizi wa mali za umma ni tatizo kubwa ila utaona linaongelewa kirahisi rahisi tu. Mtu anaweza kuchepushe hela na kufanya watu wafe kwa kukosa huduma ila ionekane kawaida kuliko mwizi wa kuku