Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Suala la imani kila mtu ana imani yake. Kwahy kuhusu imani kaa nayo Ww mwnyw unayeamini.
Swali langu linabaki vilevile, uharamu wa kitimoto ni upi?
Hana uharamu ila aliye muumba alipanga kipi tule na kipi tusile,na siyo nguruwe tu, kuna sungura ,ngamia ,baadhi ya samaki, na ndege pia
 
Imeandikwa kula kitimoto pale ambapo upo na njaa kali na hamna msosi mwengine zaidi ya mdudu, Sasa wewe unamuuliza mwenzio huku kashika viepe au kashakula unadhani atakutonya alipo mdudu.
 
Uko sahihi. Marabi hawakubaliani ya kwamba yule aliye angikwq mtini alikuwa Mesiya. Ila hawana ubishi na unabii wa Isaya kwamba wamepata mwana ambaye uwezo na utukufu uko mabegani mwake.

Sasa swali langu ni kuwa hawa wayahudi wa Yombo Dovya hawasomi kwamba Israel 🇮🇱 anajulikana kama muuaji wa manabii? Halafu pia hawamkubali njia na uzima, yaani Yesu. Sasa huo uteule wanautoa wapi???
Yani ni changamoto sana, labda wao wanatumia zile ahadi alizoahidiwa babu yao Ibrahimu, na baba yao Yakobo kuwa Mungu atawabariki na atakuwa pamoja nao na pia wanatumia lile agano kati ya Mungu na vizazi vya Ibrahimu mpaka Israeli (Yakobo). Na kuna jambo hata mimi hapo linanishangaza, ina maana unabii wa Nabii Isaya kuhusu Yesu wanaoukubali mpaka leo ina maana wanadhani bado haujatimia? 😂😂
 
Visiwani huwezi kukuta Nguruwe,
Ila Mashoga yapo ya kutosha.

Kula Nguruwe ni dhambi,mtume hataki.
kula matako ni Haki
 
Kukatazwa kula nyama Kwa mistari ya kidini nilishaondoka kwenye utumwa huo!!
Labda kisayansi kidogo has minyoo ya nguruwe invyoweza kushmbulia utumbo na dawa no operation pekee !hilo linaogofya sana!
 
Yani ni changamoto sana, labda wao wanatumia zile ahadi alizoahidiwa babu yao Ibrahimu, na baba yao Yakobo kuwa Mungu atawabariki na atakuwa pamoja nao na pia wanatumia lile agano kati ya Mungu na vizazi vya Ibrahimu mpaka Israeli (Yakobo). Na kuna jambo hata mimi hapo linanishangaza, ina maana unabii wa Nabii Isaya kuhusu Yesu wanaoukubali mpaka leo ina maana wanadhani bado haujatimia? 😂😂

Hapo hawambishii nabii Isaya. Ila wanapinga kama unabii ule ulitimia. Wanasema Yesu asingeweza kuja kinyonge vile kwa masikini na kuzaliwa kwenye holi la ng'ombe
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Hata ungemuuliza akuelekeze kwa madada poa angekuonesha lakini sio kwenye kitimoto
 
Kitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Peleka bangi zako huko
 
Hapo hawambishii nabii Isaya. Ila wanapinga kama unabii ule ulitimia. Wanasema Yesu asingeweza kuja kinyonge vile kwa masikini na kuzaliwa kwenye holi la ng'ombe
Duh! Kazi ipo kwa kweli 😅😅
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!

View: https://youtube.com/shorts/FJGEM2lDO8c?si=_WvIQ87t0pnW0HcH
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Kwanza naona umetambua na kujuwa muislam hali nguruwe kwahiyo iledhana siku ya eid mubarakah eti waislam wanakula huyo mdudu umewasibitishia wenzako sio kweli pili muislam hali nguruwe kwa sababu nguruwe hakuletwa kwa ajili yakuliwa bali anakazi yake maalumu hata wewe unaijua hivyo kutokana kazi hiyo anamagojwa mengi. lakini mmekazania nguruwe mbona hamsemi kunguru na ndege wengine wanaokamatia kucha?kuna nyani simba. Chui na wanyama wengine ambao huwinda na kukamata nyama nakuwala wote hawa sihalali kuliwa wote hawa wanamaradhi ambayo yataharibu afya yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom