min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,623
Waislam na wakristo wote vitabu vyao vimekataza nguruwe, ila cha kushangaza wana gida kama sisi tuYeyote atakayeona huu ujumbe
Waislam na wakristo wote vitabu vyao vimekataza nguruwe, ila cha kushangaza wana gida kama sisi tuYeyote atakayeona huu ujumbe
Bc kitimoto n haram ukiwa msikitini huko na sio mtaaniUharamu wa kitimoto upo kwenye imani ukiondoa imani kitimoto si haramu na unaweza kula utakavyo.
Imani ndo imeharamisha ulaji wa nguruwe pasipo imani unaweza kula hata nyani Au chochote ilimradi kwako unaona ni chakula
Biblia, agano la jipya Yesu inasema kimtokacho mtu ndo haramu na sio kiingiachoWaislam na wakristo wote vitabu vyao vimekataza nguruwe, ila cha kushangaza wana gida kama sisi tu
inategemea wewe upo pande gani mkuu, mtu wa dini au freestylerTaja huo uharamu wa kitimoto uko wapi
Haya ni maono petro alikua anapewa na mungu ili petro aelewe vizuri ilibidi aletewe mfano mzuri kabisa.Matendo ya Mitume 10:10-15
[10]akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,
[11]akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;
[12]ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
[13]Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule.
[14]Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.
[15]Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu usiviite najisi.
hakuna mnyama anayechukiwa, nguruwe ni mnyama kama pundamilia, kobe au mamba yani anastahili kuishi zake porini tu na sio kufugwa na kuliwaChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Ndiyo, si unaona mtaji unakula bila kusumbuliwa na mtu.Bc kitimoto n haram ukiwa msikitini huko na sio mtaani
😅😅😅 , wakristo mnachekesha sana mbona maandiko yenu yanawaambia mwingine akiona ni haramu ni haramu kweli ila inakuaje nyie mnalazimisha waislam waone ni halali?warumi 14 14 17Biblia, agano la jipya Yesu inasema kimtokacho mtu ndo haramu na sio kiingiacho
Ni chuki za kupandikizwa tu. Wanakosa chakula kitamu sana.Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Hadi kwenye biblia yako hiyo marufuku ipo unajua?Ni chuki za kupandikizwa tu. Wanakosa chakula kitamu sana.
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Endelea 17 inasema ni maono halafu nenda kuanzia 28 tafsiri ya maono inatolewa hapo petro anapojibu with wa kornelio ambaye si myahudi bali ni italian , wayahudi na waroma walikua hawachangamani hii ndo maana ya maono na si chakula kama unavyotafsriMatendo ya Mitume 10:10-15
[10]akaumwa na njaa sana, akataka kula; lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia,
[11]akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi;
[12]ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
[13]Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule.
[14]Lakini Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi.
[15]Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu usiviite najisi.
Kati ya Yesu na Muhammadi ni nani aliye ruhusu ulaji wa nguruwe waziwazi ? Jibu ni Muhammadi...waislamu ni wanafiki na wapumbavu haswa....hao kina shekh mazinge ...shekh kishki shekh ponda...Kitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Mbona waislam wanaruhusiwa kula wakiwa na njaa?😅😅😅 , wakristo mnachekesha sana mbona maandiko yenu yanawaambia mwingine akiona ni haramu ni haramu kweli ila inakuaje nyie mnalazimisha waislam waone ni halali?warumi 14 14 17
niko napata hapa karibuni.Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.