Jaws
JF-Expert Member
- Jun 13, 2023
- 622
- 2,231
Elimu yetu haitupi uwezo wa kufikiria sawasawa na kuchambua mambo kwa kuzingatia mantiki. Ungezingatia mantiki na kufikiria sawasawa usingetoa hii comment yako.Ingekuwa huku nilipo kungekuwa na wagonjwa wengi sana wa kifafa. Lakini tangu nihamie,zaidi ya miaka kumi iliyopita sijawahi kuona wala kusikia mgonjwa wa kifafa
➡️➡️ Kwa vile umekaa mahali na hujaona wala kusikia kuwa kuna mgonjwa hata mmoja wa UKIMWI, automatically ndiyo inamaanisha kuwa UKIMWI haupo hayo maeneo?
➡️➡️ Umesoma ukaelewa ni nini kinapaswa kufanyika kabla mlaji wa nyama ya nguruwe hajapata kifafa? Huko uliko nyama ya nguruwe inaandaliwaje? Nenda kafanye kiutafiti hata cha uongo na kweli pengine utapata jibu.