Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Mbona hata kitabu cha kikristo cha dini nao wamekatazwa bwashee? Nyie mnakula na kujiita wakristo , mnachagua vya kufauta na kuacha?

Huyu mdudu hana uharamu wowote kwa sisi wamatumbi , nikujipendekeza kwetu tu kwenye tamaduni za watu tu.
Dah! Nimecheka.
 
Em tuje kwenye maisha ya kawaida, uharamu wake ni upi?

Tukisema pombe ni haramu naweza kukubali mana pombe inaweza kukupotezea utimamu wa akili na kufanya vitu vya ovyo, sasa em nambie kuhusu uharamu wa kitimoto ni upi?

Ni wivu wao tu
 
Waislam hawaruhusiwi Kula Nguruwe; ILA kitokea mazingira kuwa hakuna chakula kiasi kuwa akiacha kula ATAKUFA; ameambiwa ale CHOCHOTE kinachopatikana katika mazingira aliyoko kwa kiasi kunusuru uhai...na akinusurika na hiyo hali atubu na kuomba msamaha.
Mara kadhaa unasikia waliofukiwa kwenye migodi wamekula mende nk nk ili kunusuru uhai (Sio kwamba wanapenda kula mende ila wangeacha wangekufa)
Dah! Ila wanaofanya kazi migodini wana roho ngumu sana, yani watu wanafukiwa na kifusi leo ila kesho kutwa utakuta wengine wanaingia tena kuchimba madini 😅😅😅
 
Mbona hata kitabu cha kikristo cha dini nao wamekatazwa bwashee? Nyie mnakula na kujiita wakristo , mnachagua vya kufauta na kuacha?

Huyu mdudu hana uharamu wowote kwa sisi wamatumbi , nikujipendekeza kwetu tu kwenye tamaduni za watu tu.
Waafrika wamejikuta wajuaji wa dini za kuletewa na majahazi na merekebu,kuliko hata kwa wao walio zileta.

Ukimuuliza Mtu swali la logic kwamba nje na vitabu vya dini Nguruwe ana shida gani ? Hakika hakuna jibu la maana utapewa.
 
Hawa unafikiri hata wanashika hizo dini basi , hawa hata kulombana hovyo hovyo ni mstari wa mbele bwashee
 
Asante msabato😆
Mm si Msabato kabisa japo baadhi ya mafundisho wakifundisha nakubali ila mengine nakataa.
Mm ni mhadzabe maana kitimoto kuna muda nakula tu nikijisikia ila nikiingia ki biblia naona ni dhambi kama nyingine tu zote uongo, uzinzi na mengine ambayo pia nafanya 😂
 
Messianic jews ni kina nani?
Kuna mpaka wayahudi atheist kibao
Mpaka waislam wapo ,licha ya kuwa dini pia ni kabila.

Binafsi sihitaji kuamini chochote kuhusu imani za kidini mkuu
Nasikia Wayahudi hawakubaligi kwamba Yesu alikuwa masihi (Kristo), wao wanamuabudu Yahwe, au Yehova, Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka ambaye pia ni Mungu wa baba yao, Mzee Israeli. Ila kuhusu Yesu wanakwambia masihi wao bado hajaja, ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia Yesu alikuwa mwanamazingaombwe tu!
 
Nasikia Wayahudi hawakubaligi kwamba Yesu slikuwa masihi (Kristo), wao wanamuabudu Yahwe, au Yehova, Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka ambaye pia ni Mungu wa baba yao, Mzee Israeli. Ila kuhusu Yesu wanakwambia masihi wao bado hajaja, ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia Yesu alikuwa mwanamazingaombwe tu!
Wayahudi wa buza watakutukana bwashee
 
Mm si Msabato kabisa japo baadhi ya mafundisho wakifundisha nakubali ila mengine nakataa.
Mm ni mhadzabe maana kitimoto kuna muda nakula tu nikijisikia ila nikiingia ki biblia naona ni dhambi kama nyingine tu zote uongo, uzinzi na mengine ambayo pia nafanya 😂
Kula kitimoto wamatumbi hatunaga neno dhambi bwashee
 
Wengi wao wanakula,hata leo nilikuwa na mwanangu Abd yeye ndiyo anayeyajua machimbo mazuri ya kitimoto hapa mjini.Wale wanaopinga ni wale waliowahi kuonja wakajua utamu wake,wanaona wivu ili tukose wote😀😀
 
Kitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Kwa nini imekatazwa?
 
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.

Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.

Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.

Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Alichokiharamisha Mtume (S.A.W) ni HARAM TU, sababu ya kumchukia ni kwasababu tuliamrishwa tusimchinje na kumla wala kumgusa, ni Kiumbe NAJISI

Hiyo ndiyo sababu.
 
Kwa nini imekatazwa?
Imekatazwa kwasababu ni najisi, najisi kwa maelezo mazuri ya biblia soma. Walawi 11 na torati 14 .
Imani ni miongozo pia kuna vitu imani yoyote inakataza bila kuweka sababu inabidi kutii ivyo ivyo
Ni sawa na kuuliza kwanini kuzini kumekatazwa
 
Kitimoto inabidi ipikwe vizuri na iive sawa sawa. Ina minyoo hatari ambayo huwa haifi kirahisi na ukila ambayo haijapikwa vizuri minyoo hiyo ina tabia ya kupanda kichwani na kusababisha kifafa na baadaye kifo.

Kama unapiga sana mbuzi huyu wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu. Hii ni muhimu sana!

View attachment 3444594
Ingekuwa huku nilipo kungekuwa na wagonjwa wengi sana wa kifafa. Lakini tangu nihamie,zaidi ya miaka kumi iliyopita sijawahi kuona wala kusikia mgonjwa wa kifafa
 
Imekatazwa kwasababu ni najisi, najisi kwa maelezo mazuri ya biblia soma. Walawi 11 na torati 14 .
Imani ni miongozo pia kuna vitu imani yoyote inakataza bila kuweka sababu inabidi kutii ivyo ivyo
Ni sawa na kuuliza kwanini kuzini kumekatazwa
Kabla biblia haikuwa haramu? Maana hivi vitabu vyote havizidi miaka 3000
 
Sasa kama haramu kwanini aliumbwa, japo mimi nguruwe na bloiler siwashabikii sn.
anyway my thoughts.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Similar Discussions

Back
Top Bottom