Hivi jamani kuna vya wanawake na vya wanaume?

Hivi jamani kuna vya wanawake na vya wanaume?

Mimi hakuna kitu kinacho niudhi kama mwanamke awe anavaa nguo za aghali na ma pafyumu ya bei mbaya halafu unamkuta mwili wake

sehemu za ndani kukavu kukavu....mafuta hayafiki kwenye mapaja...
Na makalio......

Usafi wa mwili wa ndani wa mwanamke ndo uwe muhimu zaidi..

Kuna wanawake ukisha sex nae mara moja..
Hamu inapungua sababu ya usafi wa juuu juuu tu.

Usafi wa juu juu kwa wote si kitu kizuri.... wote wanawake na wanaume shurti wachukue muda kujiswafi eti....

hohooooooooo... wanawake? Hebu jaribu ujue ni wanaume wangapi (percentage) wanaweza wakawa wanapaka mafuta mwilini halafu tucheke humu, mmoja wao mie, sipaki mpaka niwe sehemu za baridi maana mtu unaweza kupauka kama gazeti!!!

wanaume na mafuta? sasa mbona wanaenda siku hizi kufanyiwa facial..ina maana usafi wao ni uso tu??

Hili nalo jambO!!

Hili ni kweli kabisa, kuna wakati mpaka unaogopa kujua kama jamaa ameoa na anapata ile kitu!!

Hili nalo neno!....
 
Mimi hakuna kitu kinacho niudhi kama mwanamke awe anavaa nguo za aghali na ma pafyumu ya bei mbaya halafu unamkuta mwili wake

sehemu za ndani kukavu kukavu....mafuta hayafiki kwenye mapaja...
Na makalio......

Usafi wa mwili wa ndani wa mwanamke ndo uwe muhimu zaidi..

Kuna wanawake ukisha sex nae mara moja..
Hamu inapungua sababu ya usafi wa juuu juuu tu.

ina maana haya ndio maeneo yanapaswa kupakwa mafuta zaidi kwa mwanamke? na mwanaume je?

hohooooooooo... wanawake? Hebu jaribu ujue ni wanaume wangapi (percentage) wanaweza wakawa wanapaka mafuta mwilini halafu tucheke humu, mmoja wao mie, sipaki mpaka niwe sehemu za baridi maana mtu unaweza kupauka kama gazeti!!!

Hili nalo neno!

Hili ni kweli kabisa, kuna wakati mpaka unaogopa kujua kama jamaa ameoa na anapata ile kitu!!

Makubwa!
 
Wanawake wanatakiwa wanone,mapaja na wowowo ziwe safi na zinaita..
Wanaume sio lazima..
 
654535]Wine inalegeza maungo [/B]mama, kumbuka shurti mwanamke alegee na mwanaume akakamae at the end of the day!!

Hii inawezekana ikawa kweli maana mie huwa nalazimishwa kunywa wine, kumbe sababu ndio hiyo ya kulegeza viungo.............lol
 
Hii inawezekana ikawa kweli maana mie huwa nalazimishwa kunywa wine, kumbe sababu ndio hiyo ya kulegeza viungo.............lol

We acha tu, hasa macho yanapounga mkono mlegezo!!!
 
wewe kama edita hapa umeingia choo cha kike, humu tunajiachia tunavyotaka ukitaka ku edit spelingi na grama nenda jukwaa la akina blurei.

Wewe jina lako Sinkala siku hizi? Mbona mwenyewe kakaa kimya? Kama ni grammar/ spelling nitaendelea kusahihisha hata kama imeandikwa kwa Kiswahili.

Ndio nyie msiokubali kufundishika
 
Hapa inategemea na jinsi ulivyolelewa au makuzi yako tu hakuna vyakula vya mwanaume au mwanamke, mie hubby wangu wala hapendi ugali na vyakula vigumu kabisaaa.
Mie ugali huwa nakula kwa msimu nikikaa muda mrefu ndio napata hamu ya kula ugali, ila ndizi na vyakula vingine twende tu hivyo havina msimu.

Ila sema baadhi ya sehemu kuna wanaume kweli bila ugali bado hujamwambia kitu.Kuna sehemu niliwahi kwenda hadi nilishangaa yaani wao asubuhi na mapema wanakula ugali tena mgumuu, ukiwaambia habari za kula snacks na chai asubuhi hata hawakuelewi. Wanasema kwamba wao ndivyo walivyokulia kula ugali asubuhi.

Hivyo mie naona hii sana sana inategemea malezi na mazingira uliyokulia toka ulivyokuwa mtoto wazazi wako walikuwa wanapendelea kukulisha vitu gani, hivyo ukiwa mkubwa utapendelea hivyo vitu.
kuwa makini mama kama anapenda vitu urojo shauri yako ..ila siku moja mtest kwa kumpima oil ukiona hajashtuka ujue waarabu wameshapita
 
You have earned two tickets for Jaydee and Machozi Band this friday at the Zhong Hua Garden. Mkuu tangu asubuhi nilikuwa sijacheka na hapo umenipa sababu ya kuanza kuzitundika leo kwenye ladies night.

Hahaha! Mpwa bana. Mbili siyo? Yu miin wani fo me and ze adha fo mai mchumba wangu? Yu ken sei it agein! Mpwa hiyo tiketi lazima iambatane na ruzuku ya tuserengeti kadhaa twa baridi. Otherwise, ntaibinafsisha hiyo ticket nipate kianzio pale Zero Pub.
 
Usafi wa juu juu kwa wote si kitu kizuri.... wote wanawake na wanaume shurti wachukue muda kujiswafi eti....

Hili nalo neno!....

Unakuta mtu kafanya usafi juu juu tu, na joto hili la Bongo halafu eti anategemea uingie chumvini...phew!!!!!
 
Wanawake wanatakiwa wanone,mapaja na wowowo ziwe safi na zinaita..
Wanaume sio lazima..

Hii kali!
Siku hizi tunasikia kuwa wanawake wanatumia mbinu mbalimbali kuongeza sehemu za maumbile yao ili kuendana na preferences kama alizozionyesha Boss hapo juu.Kuna wakati ilisemekana wanawake wanatumia madawa ya kunenepesha mifugo ili wajinenepeshe waweze ku fit kuitwa " mashangingi"!...Sina uhakika kama kuna mbinu kama hizi kwa wanaume ili wafuzu kuitwa vibopa, pedejee,n.k.
Je, kuna vipimo standard vya mwanamke aweje? na je mwanaume anatakiwa awe vipi kimuonekano?...
 
Back
Top Bottom