Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Binamu mpaka kieleweke leo lol.Tutapekenyua kila kitu hapa! Tuko kwenye taulo na shuka sasa...
tabia ya kufunga taulo kiunoni kisha kutoka na kuanza kuzunguka zunguka...akina kaka mnasemaje?
Hahaha! Hapo binamu unakorofisha. Labda ndani ya taulo awe amevaa bukta. Otherwise ikidondoka kwa bahati mbaya! Lol! To me Kuzunguka na taulo ni ulimbukeni na ushamba. Ikianza mada ya soksi usisahau kuniPM manake hapo ndio penyewe. Lol!