Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Labda kwa vile haionekani.Lakini nyeupe nayo yataka moyo,yani uwe msafi kwelikweli.Hahahaha hiyo kachumbari balaa! Hiyo inakwenda mpaka kwenye nguo za ndani, mtu akivaa chupi ina mirangi rangi inachefua kwa kweli. Unakuta chupi ina rangi zaidi ya mbili khaa! Njano, bluu na nyeupe! Ukijiuliza kaitoa wapi hupati jibu maana hata wachina sijui kama bado wanatengeneza!
hebu niambie na swala la nywele za wadada,Wanaume mnasemaje kuhusu zile weaving nasikia zinakaa hata miezi ,kichwa hakijatiwa maji.