Hivi inawezekana kumaliza chuo bila kuingia kwenye mahusiano

Inawezekana kwa sisi tuliosomea daslam kama ni mtu wa bata ni ngumu sana kuwa na mahusiano, maana mademu mchana mpo nao chuo afu jioni mnakutana viwanja na ukijifanya humjui ukipanda dau unaenda kusuza rungu, hili jambo lilinifanya niwadharau sana mademu wa chuo na sijawahi kutongoza yeyote kwa 4yrs,
Ilikuwa ni mwendo wa kuwatega tu club za Sinza, Tabata, Ubungo n.k
 
Habari wanajf,

Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.

Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend. 😊.

Sasa hapa ni aidha nianze kuwa mtongozaji kama jamaa wengine au niishi maisha yangu bila kujali mahusiano.
Nipo kupokea mawazo yenu wakuu.
Serious bro! Kama mpaka sasa hv, hujajua madhara ya ngono nje ya ndoa, basi kuna shida,
Ndio kwanza unatafuta degree ya kwanza, sasa ngono inakusaidia nini kufika malengo yako? Uanze ngono na, miaka 22! Upige pipe weee mpaka miaka 30+, ndio uoe,umebeba, manuksi kutoka kila aina ya vagina,! Unazijua kubwa, na ndogo, unakutana na mkeo,ukute na, ye ye kama wewe, ameishatebezewa, pipe kadhaa ya kwako ni ya, 30+, hapo lazima mtaonana wa kawaida, mnapeana manuksi tu,
Hakuna madhara ya kukaa bila kufanya ngono kwa muda mrefu,
 
Chuo ndio sehemu ya kujifunzia mambo mengi ya kimaisha ikiwemo mahusiano. Watu wengi hudhani chuo unaenda kusoma mavitabu na mavitini tuu. Ukiwa chuo ndio muda wa kukomazwa kimahusiano, kupigwa matukio, kujifunza tabia za watu mbalimbali, kutembelea viwanja mbalimbali vya starehe nk. Unatakiwa ukimaliza chuo uwe tayari una exposure ya mambo mengi. Pia tafiti zinaonyesha watu wengi huoa/ kuolewa na ma classmate.

Mambo ya mahusiano sio ya kwenda kujifunzia kwenye ndoa utakuja kujiua bure..
 
Habari wanajf,

Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.

Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend. 😊.

Sasa hapa ni aidha nianze kuwa mtongozaji kama jamaa wengine au niishi maisha yangu bila kujali mahusiano.
Nipo kupokea mawazo yenu wakuu.
wewe dogo Una nini cha maana hadi utongozwe
 
Sio swali sahihi, swali ni: Kuna sababu? Kama ipo, ni based in What? Kila kitu kinawezekana panapokuwa na sababu.

Mnakujaga kuwa Malaya sana watu wenye caliber yako, achana ma wanawale, kabisa, hawana faida yeyote.
 
Huu muda utumie vizuri katika kuwa Extra ordinary people.

Jitofautishe na wenzio katika kila kitu ikiwemo kuwa na fikra chanya.

Jifunze kuandika
Jifunze skills yoyote Kama Software hasa excel

Jifunze lugha ya kiingereza kwa ufaha kuongea na kuandika



Soma vitabu vyenye personal growth na mambo ya fedha.

Ikitokea umetafuta mwanamke usitafute hawa wan awake low class masikini watakurudisha nyuma in term of money .


Zingatia mahusiano mazuri ni yale yanayokufanya usonge mbele tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom