ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,062
- 49,749
Rish Sunak PM wa Uingereza amefanya mabadiliko kwenye Baraza lake la Mawaziri Kwa Kumtimua Waziri wa Mambo ya Ndani Suela Braverman na kumteua David Cameron Waziri Mkuu wa Zamani kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza.
Suela Braverman Waziri Mwandamizi na mwenye msimamo mkali kwenye Serikali ya Sunak alitimuliwa baada ya Shinikizo Kufuatia kutoa matamshi makali Kwa wanaopinga Uvamizi wa Israel Gaza/Palestine hivyo kuchochea maandamano makubwa Nchi Uingereza mwisho wa wiki.
Aliyekuwa Waziri wa Nje na Foreign Secretary James Claverly(Black) ameteukiwa kuwa Home Secretary.
My Take:
Tanzania tunaweza Kuiga Kwa mama kumteua Jakaya Kikwete kuwa Foreign Affairs Minister 🤪🤪
=======
Rishi Sunak appointed David Cameron as UK foreign secretary, a shock return to government for a man who led the UK between 2010 and 2016 but whose legacy is defined by his decision to call the Brexit referendum.
Cameron replaces James Cleverly, who became home secretary to fill the post vacated by Suella Braverman, Sunak’s office said a statement Monday. While Braverman’s firing alone would have been a seismic political move in Westminster, adding Cameron to the mix takes it to another level.
Bloomberg