Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Hahahaa cousinitho nmekumic ww..... afu et mi nkienda si ntachapwa vibao enhe??? na navowatoleaga watu maneno machafuu....
Una uchuna cousin hawawezi kuku recognize wasiwasi wako tu
Hahahaa cousinitho nmekumic ww..... afu et mi nkienda si ntachapwa vibao enhe??? na navowatoleaga watu maneno machafuu....
hivi raha ya huu mziki wa mduara ni nini miss strong?
Hahaa uwiii itabid niwepo ila mnilinde na ivi domo langu chafu
party hii waliokuwa nje ya tz hawaalikwi....haiwahusu yetu sisi wala vumbi
cc: Nyani Ngabu
Hebu fanyeni mambo bana wabeba maboksi tuje tunyuke watu fimbo za macho!
Aka hata huku kwetu kuna bwawa la mindu nkihic kwenda baharin naenda zangu mindu mie
mie tayari nshaeka sawa cjajua venue lakn nimo by any means ngoja nimu invite pachaa asakuta same
Njoo hapa Fyatanga
...mkuu ukotinna cute utakuwepo? naona umetoka kula ban asee
Heee hivi kumbe kuna party...ngoja niandae ulimbo na ukali
Hakika wewe binti utakuwa nami kwenye ufalme wangu hiyo siku ikifika.
utafuatwa na kurudishwa...we tangaza nia tu!!!
Bibie maadamu muamala wako umefika kwa P.I.M.P kadi ushapataaaa! That automatically makes you an A lister in MMU!