Hivi Ile Jamiiforums Party imeishia Wapi?

Hahaa duuh ulivyonishushia gazeti....mimi bwana hum ndani najiassociate na kila mtu ninayeona ananifaa kwa wakati husika though nakiri kuna wakati nlitaka kuicheza ngoma nisiyoijua.....kumbe kuna mengi yako nyuma ya pazia ambayo siyajui nlipoyajua nikaamua kubadili style..... Mtu atakayenitenga kisa ameona najihusisha na fulani na aende tu mi sina tatizo madam najua nnachofanya na moyo wangu naujua mimi
Ule mwaliko wangu bado upo mezani? Coz naona ushapandisha tinted tayari...teh!!
 
Hivi na sisi tusio na majina makubwa humu jf tunaruhusiwa kuhudhuria??
 
Hahaa duuh ulivyonishushia gazeti....mimi bwana hum ndani najiassociate na kila mtu ninayeona ananifaa kwa wakati husika though nakiri kuna wakati nlitaka kuicheza ngoma nisiyoijua.....kumbe kuna mengi yako nyuma ya pazia ambayo siyajui nlipoyajua nikaamua kubadili style..... Mtu atakayenitenga kisa ameona najihusisha na fulani na aende tu mi sina tatizo madam najua nnachofanya na moyo wangu naujua mimi

Hahahaaaaaaaa! Just a word of advice! We mtu mzima and you know what is good for you and what is not! That i have no doubt whatsoever! Msomi, unajielewa, confident you are difnately better than that shit! (If you are not its a shame! You should be soon!)

Sorry kama umehisi what i wrote was about you! Naaaaaaah! Ilikuwa collateral damage! Nilikuwa natuma salamu za asubuhi tu! Si unajua i am on a quest to restore lost honor and indepence of mmu! We want back our MMU were people were left to be! Tunatokomeza utoto utoto wote!
 
Hah hah lara1 nitakutafuta chemba aisee maana Mmu ilipoteza credibility yake kabisa!!!
 
Duh!! Mkuu Eli79 kweli tutaula mbichi aisee,,!! Acha akina lara 1 watese kwa zamu.
Usijali mkuu, Ili mradi ukiingia humu unaenjoy, hayo mengine usiyafate saaana..kama wataka party naamini ukiomba watakupokea tu.
 
Last edited by a moderator:

Nimekuelewa sana mkuu!! Nakushukuru sana Eli79
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaa! Just a word of advice! We mtu mzima and you know what is good for you and what is not! That i have no doubt whatsoever! Msomi, unajielewa, confident you are difnately better than that shit! (If you are not its a shame! You should be soon!)

Sorry kama umehisi what i wrote was about you! Naaaaaaah! Ilikuwa collateral damage! Nilikuwa natuma salamu za asubuhi tu! Si unajua i am on a quest to restore lost honor and indepence of mmu! We want back our MMU were people were left to be! Tunatokomeza utoto utoto wote!

Hahahahaa......Thanx for compliments....I have to keep the standards lol. Lakini huu ni mkusanyiko wa watu kadri watu wanavyoongezeka kuna vitu lazima vibadilike tu inabidi tujifunze kuvichukulia
 
Teeeh...nasikia picha za watu zasambazwa mitaani tu... Kwani yangu unayo? Ila watu wabaya sana aisee, duuh!!

Heeee....nipatie yako bas nikuzambaze au we hutaki kuuza sura?
 
Hahahahaa......Thanx for compliments....I have to keep the standards lol. Lakini huu ni mkusanyiko wa watu kadri watu wanavyoongezeka kuna vitu lazima vibadilike tu inabidi tujifunze kuvichukulia

Nakuunga mkono mkuu. Pipo shud len tu asepti chenjez lolz
 
Back
Top Bottom