Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Nimeishi dar miaka 39 na nimekimbia mjini niko shamba na ninafaidi maisha ya organic food na oxygen safi. Karibu once na hutorudi Mjini katu.

it's all good as long as upo comfortable.
 
Nimeishi dar miaka 39 na nimekimbia mjini niko shamba na ninafaidi maisha ya organic food na oxygen safi. Karibu once na hutorudi Mjini katu.

ume staafu uka amua kurudi shamba?
 
Dar km makkah au jerusalem ya tanzania,lazima ukahijji.
 
mbona mimi nikitoka uru nikija dar nafubaa inaonekana hali ya hewa ya dar haijanipenda

hivi dadangu unatokea uru-kishumundu au mawela, hivi yule mwanajeshi(sanamu) wa keep-left cha YMCA mliokuwa mnamkimbia mkimuona bado yupo au wameshamtoa?
 
ha ha ha..
 
ile sanamu bado ipo ila hatuikimbii tena natokea uru kishumundu kabisa
 
Ktk mji ambao watu wanaishi kwa kuigaiga,kubabishabaisha,ujuajiujuaji,ushambaushamba ni Dar es Salam.
Utakutana na sister du mjini anawaka ile mbaya, huo ni mchana sasa mtafute jioni au asubuhi uone anapoishi, utachoka!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom