lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,494
- 1,057
So shemeji neuonee mumu. Mia uteie zua ja kunu jiakia memifuko.
Onga mgosii nzeze
So shemeji neuonee mumu. Mia uteie zua ja kunu jiakia memifuko.
Bado hatujazaa imeshajaa Dar es Salaamjiji linazidi kujaa...tu
unamaswali nyeti mimi bado sijaolewa
Hahahaaaah,,,,,,,,kuuumbe ndio maana mnang'ang'ania huko.
sorry kwa maswali yangu nyeti miss chagga but yana weza kuwa na umuhimu kwako na kwaNgu.... we have something common here we need to discuss.unamaswali nyeti mimi bado sijaolewa
Haa njoo nikuoe mimi. Bado sijaoa na sina mchumba.
sorry kwa maswali yangu nyeti miss chagga but yana weza kuwa na umuhimu kwako na kwaNgu.... we have something common here we need to discuss.
Taratibu wewe mbona una dandia treni kwa mbele..
mbona mimi nikitoka uru nikija dar nafubaa inaonekana hali ya hewa ya dar haijanipenda
basi kumbe ulisoma kwetu kule basi nikaribishe nyumbani kwako
Okay bidada ukija utani PM ata ukikaa mwaka hakuna noma.
Umekuja dar kufanyaje?
Haa njoo nikuoe mimi. Bado sijaoa na sina mchumba.
za kuambiwa changanya na zako na kama zako hazipo tumia hizo za kuambiwa!
Nimeishi dar miaka 39 na nimekimbia mjini niko shamba na ninafaidi maisha ya organic food na oxygen safi. Karibu once na hutorudi Mjini katu.
Okey let discuss the common one okey
Kumbe inadandiwa kwa nyuma ?
mbona mimi nikitoka uru nikija dar nafubaa inaonekana hali ya hewa ya dar haijanipenda
kwa hiyo nikileta hata manyoya ya ndege nitauza eeh?