Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Usiudhalilishe mji wa Yerusalem. Dar ilivyo chafu na mambo machafu. Dar ni kama Meccah kila mchagga. msukuma. mnyakyusa lazima aje kuhiji.

be gud kijana cjapenda na hakuna muislam au mpenda amani atakaependa comment yako
 
Usiudhalilishe mji wa Yerusalem. Dar ilivyo chafu na mambo machafu. Dar ni kama Meccah kila mchagga. msukuma. mnyakyusa lazima aje kuhiji.

hapa lazma uzue mgogoro mzito kwa wenye mji wa meccah.
 
Huku kila kitu cha kununua,bali pumzi tu hununui ukiwa nje ya chumba baki hukohuko usije mjini
 
Usiudhalilishe mji wa Yerusalem. Dar ilivyo chafu na mambo machafu. Dar ni kama Meccah kila mchagga. msukuma. mnyakyusa lazima aje kuhiji.
Mmh... ngoja nikae pembeni, waje wenyewe wa siasa kali wakujibu hizo comments zako zinazochokoza imani ya watu wengine, na hivyo kusababisha hali kuwa tete!
 
Usije kuna mbwa mwitu!
aka panya road.

Hata hivyo kuna habari njema toka kwa Afande Kova kuwa kikundi hicho cha mbwa mwitu kishasambaratishwa na jeshi lake la polisi.

Kwa maana hiyo Dar sasa imekuwa Dari-Salama.
 
mimi mwenyewe ni mbwa mwitu sa ntawaogopaje ndugu zangu?
Hapana umekosea wewe siyo mbwa mwitu, isipokuwa wewe ni samaki perege!

Hayo si maneno yangu, but it's according to your avatar!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom