Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,462
Yani kila mtu akienda daslama akirudi ana ng'aa yani full kupendeza,hasa hawa dada zetu wakitoka huku vijijini kuja dar baada ya mwezi tu amebadilika kuanzia umbo,mavazi mpaka pozi(ukifanya masihara ndoa yako inaweza vunjika hivi hivi) na zaidi ya yote rafudhi nayo ina kua ya kidaslama daslama tu utaskia "akha babu wee mie siwezi kutumia kuni eeh nitanuka moshi mwenzangu wee"...

JAMANI HUKO DASLAMA KUNA MBWAI NA MIMI NIJE?
 
usije mjini
 
Ooyooo kila sehemu ni pazuri na kikubwa ni elimu na akili na usifanye papara au kuwa na kihere here na una kuwa mtu wa uvumelivu na mtamelimu na amri za wenye miiji yao basi utayaona mambo yaana kunyokea taratibu na ushakua safi hapo tena unaweza kuwa na kibri na kiburi na nyoddo kwa wenyeji wako na kina dada huwa fasta fasta huwa mambo yao swafii sana na anaweza kuwa na nyumba na gari kwa muda mfupi tu tafauti na midume
 
So shemeji neuonee mumu. Mia uteie zua ja kunu jiakia memifuko.
 
Kila aina ya dhambi utaiona hapa. Kama Mwanamme kuingia gesti na mwanamme halafu wakavua boxer na mmoja kujifanya ni m dada. Bila shaka kwenu Gare hakuna huu ushenzi. Utaweza kufanya ndoa ya masaa ndani ya gesti. Utauziwa maji ya kunywa. kule Gare yanatiririka tu. Jirani yako anaweza asikusalimie. Watu wakila chakula wanafunga milango. Chumba kimoja utalala na mkeo na binti wa form four humo humo. Unafikiri huku ni mataa na magari .
 
mbona mimi nikitoka uru nikija dar nafubaa inaonekana hali ya hewa ya dar haijanipenda
 
Mjini Kuna Mambo Kijijini Sirudi Ng'ooo Labda Muweke Sumu Kwenye Maiti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom