Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

tehe

njoo na weye ung'ae, ya nini usubiri kuhadithiwa!
 
Hahaha..umenikumbusha wale dada zetu,kazaliwa marangu,kasoma paka form four marangu,kapiga keep left akaletwa kwa mjomba arudie pepa...december xaxa....yaani kichaga kwanza hakijui!...kiswahili cha dar!...mara ooooh..mi siwez vilima vyenu ya marangu!....kakutana na kajamaa kanajua kununua chips mishkaki na hotchair....baasi..anang'aaa na kuvimba vimba sehemu flan za mwili anamuona kila mtu mshamba ilhali ye ndio hajielewi...yaani!...kaka dar ukifanya kazi poa ela utaiona na ndo maana vijana wanapendeza....sema pia ni pagumu kama huna ramani ya kueleweka...koz kuna wadau wamechoka usipime!
 
Hii ndio Dar. mida hii nishamuacha wife kitandani niko ndani ya daladala. sasa hivi ni saa kumi na moja asbh niko Ubungo. Gare unaamka saa ngapi ? Joto la wife unaliachia saa ngapi. Haya ni mateso si maisha. USIJE DAR
Mbona mnang'ang'ania tu huko? Rudini kijijini kusiko na madhira kama hayo.
 
Katavi acha hizo. Nitoke Dar nirudi Karagwe ? mimi nitakua na akili ? Hapa kuna kitimoto. bia baridi. nyumba ndogo nyingi bila waifu kustuka. hospitali. yaani foleni tu initoe mjini. Hapa Dar unaweza kuamka saa kumi usiku kwa kisingizio cha foleni kumbe unaingia nyumba ndogo unapiga kimoja saafi unaoga unawahi kazini. kijijini ukifanya hivyo ndani ya wiki kila mtu anajua.
 
Okajanga wewe
 
Hahahaaaah,,,,,,,,kuuumbe ndio maana mnang'ang'ania huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom