Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Hivi dengue ili ishia wapi? Daslamu kuna mambo mwee!
 
Halafu naskia vijana wengi wa daslama hawapendi maendeleo ya wenzao eti ni kweli?
 
Yani kila mtu akienda daslama akirudi ana ng'aa yani full kupendeza,hasa hawa dada zetu wakitoka huku vijijini kuja dar baada ya mwezi tu amebadilika kuanzia umbo,mavazi mpaka pozi(ukifanya masihara ndoa yako inaweza vunjika hivi hivi) na zaidi ya yote rafudhi nayo ina kua ya kidaslama daslama tu utaskia "akha babu wee mie siwezi kutumia kuni eeh nitanuka moshi mwenzangu wee"...

JAMANI HUKO DASLAMA KUNA MBWAI NA MIMI NIJE?

Dah! Hivi kumbe kwa huko kijijini wakija ndo wako hivyo! Dah, huku ndugu yangu ukija jipange kwanza, maisha magumu balaa ila 'fursa' zipo. Unaweza okota makopo siku ikasogea kwa mlo mmoja ila hausevu kitu na haujui pa kulala. Sikushauri uje. Hawa dada zetu wana-akti tuu. Sijui mbwai ndo nini ila hamna 'mbwai' huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom