Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

Hivi huko Dar es Salaam kuna mbwai? Nataka nije

aku mie mimi napenda kukaa tandale.. afu huko masaki sina ndugu labda niwe nakuja kwako lakini uwe na chumba cha wageni

sasa uko tandale kwa bibi nyau hata maji ya bomba hamna ndo maana unafubaa njoo huku mbezi beach upepo unapovuma.
 
Hii ndio Dar. mida hii nishamuacha wife kitandani niko ndani ya daladala. sasa hivi ni saa kumi na moja asbh niko Ubungo. Gare unaamka saa ngapi ? Joto la wife unaliachia saa ngapi. Haya ni mateso si maisha. USIJE DAR
 
Watu wa Dar ni waongo sana, kila siku kulalamika maisha magumu Dar, foleni, nyumba za kupanga bei juu, kiti, mafuriko, magonjwa ya kuambukizana na yasiyo ya kuambukizana.

Wakiambiwa waje huku vijijini watakwambia hawataki! Kumbe wanatumia Hizo style kutukatisha tamaa tusiende Dar!
 
Kila aina ya dhambi utaiona hapa. Kama Mwanamme kuingia gesti na mwanamme halafu wakavua boxer na mmoja kujifanya ni m dada. Bila shaka kwenu Gare hakuna huu ushenzi. Utaweza kufanya ndoa ya masaa ndani ya gesti. Utauziwa maji ya kunywa. kule Gare yanatiririka tu. Jirani yako anaweza asikusalimie. Watu wakila chakula wanafunga milango. Chumba kimoja utalala na mkeo na binti wa form four humo humo. Unafikiri huku ni mataa na magari .

wacha wee mambo ya deslamu hayo...naskia kila mtu ana gari huko na kila dada ni mweupe kama mzungu...
 
Hii ndio Dar. mida hii nishamuacha wife kitandani niko ndani ya daladala. sasa hivi ni saa kumi na moja asbh niko Ubungo. Gare unaamka saa ngapi ? Joto la wife unaliachia saa ngapi. Haya ni mateso si maisha. USIJE DAR

Huku kwetu sa hizi ndio naamka siwazi nitakula nini viazi vya kunywea chai ndio viko jikoni, mchana ndio mahindi yana andaliwa yaende mashineni kusagwa,mboga majani ya mnavu,mbwembwe na kilindoi yamejaa tele shambani hapo,ila naskia daslamu raha asubuh mnakunywa juisi na mkate,mchana mnakula fast food sijui ndio chakula gani hiki.....
 
kwa hiyo nikileta hata manyoya ya ndege nitauza eeh?

sana tuuu.........
Wee jaribu uone hujui kwamba manyoya ya ndege ukichanganya na maganda ya vitunguu ni dawa ya degedege yakichomwa af mgonjwa akafukizwa kwenye moshi wake??
 
sana tuuu.........
Wee jaribu uone hujui kwamba manyoya ya ndege ukichanganya na maganda ya vitunguu ni dawa ya degedege yakichomwa af mgonjwa akafukizwa kwenye moshi wake??

Ngoja nichangamkie fursa huku kwetu kuna ndege wengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom