kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
- Thread starter
- #41
It's my purpose and primarily objectiveFor the purpose of attainment financial freedom it is possible . Otherwise you can't .
It's my purpose and primarily objectiveFor the purpose of attainment financial freedom it is possible . Otherwise you can't .
Hahah subri nijitoe katika hili hakuna namnaChoma chips mkuu, maisha ni shilingi.
Location yako please niwe nakuja kudoea chips zako hizo.Hahah subri nijitoe katika hili hakuna namna
Nakuhakikishia utafanikiwa vizuri tuu. Ila uwe unaifanya hiyo kazi ya kuchoma chips kwa malengo ili baadae capital ikiongezeka ufanye biashara. Shilling huzaa shilling na baadae mambo yatakunyokea. Ila achana na starehe za mademu na unywaji wa pombe. Akili yako iwaze businessNashukuru kwa ushauri Leo nitavuna mengi Sana
Sawa Sawa mkuu nitajitahidi mkuuNakuhakikishia utafanikiwa vizuri tuu. Ila uwe unaifanya hiyo kazi ya kuchoma chips kwa malengo ili baadae capital ikiongezeka ufanye biashara. Shilling huzaa shilling na baadae mambo yatakunyokea. Ila achana na starehe za mademu na unywaji wa pombe. Akili yako iwaze business
Southern belt of Tanzania especially mtwara regionLocation yako please niwe nakuja kudoea chips zako hizo.
Sawa, mishakaki haitakupa shida, nipe tenda ya panya.Southern belt of Tanzania especially mtwara region
Now you may go ahead !It's my purpose and primarily objective
Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu TanzaniaNgoja niongee kiwepesi kidogo, mkuu wewe ulikua unasoma ili uje upate ajira ulipwe pesa, sasa hizo ajira hazipatikani, je utaendelea kusubiri hizo ajira hata miaka kumi mbele wakati huo ukiwa unaishi maisha magumu?
Hapana haiwezekani, kwa hiyo sasa wewe fanya kazi yoyote iliyopo mbele yako ili upate pesa maisha yaendelee, usijali kwamba watu watakuonaje au wazazi watakuonaje, wewe piga kazi.
Mkuu ukiendelea kufikiria hayo ipo siku utakuja kukutana na jamaa zako mliosoma wote shule ya msingi hawakufaulu kwenda Sekondari lakini wamepiga hatua kimaisha, wewe pambana huku ukiendelea kutafuta hizo ajira.
Thank you brother!Now you may go ahead !
Hongera Sana komaa bossMaisha ni popote mkuu
Anza na icho kidogo ulichonacho.
Mi mwenyewe O. leval nilipiga banda kama zote nilipata division 1 ya point 9 Uhuru secondary school shinyanga. Advance nilipiga kijiti kikali tena division 1 ya point 5 mwakaleli high school mbeya. Nikaenda jalalani pale udsm pumbavu zako profesa uchwara kwa kutushushia hadhi ya chuo chetu pendwa napo pale nimetoka na 4.3.
Lakini nipo kitaa na fanya kazi za ovyo na ajabu vyeti niliamua kuvipumzisha kabatini baada ya kuzungusha bahasha ya kaki pasipo na mafanikio.
na nina mshukuru mungu ridhiki sikosi
Na mwakani nampango wa kurudi darasani kuchukua shahada ya pili kuongeza elimu yangu ili maswala yangu haya niendelee ya Fanya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.
Sawa, mishakaki haitakupa shida, nipe tenda ya panya.
Mkuu nadhani kwa ushauri wa watu humu saikolojia yako inaenda kukaa sawa.Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu Tanzania
ha ha ha haUnachoma chips kwa malengo gani?
Nimesubiri weee siioni, itakuwa wanaunda zegwe nifutwe uraia.ha ha ha ha
Nakuona mzee wa kujilipua ban coming soon
#mawazo yangu
Ni kweli kabisa mkuu lakini yaitaji moyoMkuu nadhani kwa ushauri wa watu humu saikolojia yako inaenda kukaa sawa.
Mkuu kaza moyo wala usijali maneno ya watu au macho ya watu.Ni kweli kabisa mkuu lakini yaitaji moyo
unavyoona kitu cha ajabu kuuza chips kwa sababu umesoma chuo kikuu.How?