Hivi hii shahada yangu kuiweka kwenye chips ni halali kweli?

Nashukuru kwa ushauri Leo nitavuna mengi Sana
Nakuhakikishia utafanikiwa vizuri tuu. Ila uwe unaifanya hiyo kazi ya kuchoma chips kwa malengo ili baadae capital ikiongezeka ufanye biashara. Shilling huzaa shilling na baadae mambo yatakunyokea. Ila achana na starehe za mademu na unywaji wa pombe. Akili yako iwaze business
 
Sawa Sawa mkuu nitajitahidi mkuu
 
Ngoja niongee kiwepesi kidogo, mkuu wewe ulikua unasoma ili uje upate ajira ulipwe pesa, sasa hizo ajira hazipatikani, je utaendelea kusubiri hizo ajira hata miaka kumi mbele wakati huo ukiwa unaishi maisha magumu?

Hapana haiwezekani, kwa hiyo sasa wewe fanya kazi yoyote iliyopo mbele yako ili upate pesa maisha yaendelee, usijali kwamba watu watakuonaje au wazazi watakuonaje, wewe piga kazi.

Mkuu ukiendelea kufikiria hayo ipo siku utakuja kukutana na jamaa zako mliosoma wote shule ya msingi hawakufaulu kwenda Sekondari lakini wamepiga hatua kimaisha, wewe pambana huku ukiendelea kutafuta hizo ajira.
 
Maisha ni popote mkuu
Anza na icho kidogo ulichonacho.

Mi mwenyewe O. leval nilipiga banda kama zote nilipata division 1 ya point 9 Uhuru secondary school shinyanga. Advance nilipiga kijiti kikali tena division 1 ya point 5 mwakaleli high school mbeya. Nikaenda jalalani pale udsm pumbavu zako profesa uchwara kwa kutushushia hadhi ya chuo chetu pendwa napo pale nimetoka na 4.3.

Lakini nipo kitaa na fanya kazi za ovyo na ajabu vyeti niliamua kuvipumzisha kabatini baada ya kuzungusha bahasha ya kaki pasipo na mafanikio.

na nina mshukuru mungu ridhiki sikosi
Na mwakani nampango wa kurudi darasani kuchukua shahada ya pili kuongeza elimu yangu ili maswala yangu haya niendelee ya Fanya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.
 
Ni kweli mkuu lakini akili yangu ilishaathiriwa na mfumo wa elimu yetu Tanzania
 
Maisha ni popote mkuu
Anza na icho kidogo ulichonacho.

Mi mwenyewe O. leval nilipiga banda kama zote nilipata division 1 ya point 9 Uhuru secondary school shinyanga. Advance nilipiga kijiti kikali tena division 1 ya point 5 mwakaleli high school mbeya. Nikaenda jalalani pale udsm pumbavu zako profesa uchwara kwa kutushushia hadhi ya chuo chetu pendwa napo pale nimetoka na 4.3.

Lakini nipo kitaa na fanya kazi za ovyo na ajabu vyeti niliamua kuvipumzisha kabatini baada ya kuzungusha bahasha ya kaki pasipo na mafanikio.

na nina mshukuru mungu ridhiki sikosi
Na mwakani nampango wa kurudi darasani kuchukua shahada ya pili kuongeza elimu yangu ili maswala yangu haya niendelee ya Fanya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.
Hongera Sana komaa boss
 
Back
Top Bottom