Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Hiyo sio sanitiser,ni sabuni ya maji,sanitiser huwa ni maji maji ambayo ukipaka kwenye mikono haina haja ya maji ili kusafisha,yenyewe yatosha na hukauka mkononi ndani ya sekunde chache...kwa kuzuia corona tafuta sanitizer yenye alcohol angalau asilimia sitini.
Hivi mfano nikikosa hivyo nikatumia spirit si shega tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua konyagi unawie corona itakimbia yenyewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Gongo itafaa.
Hiyo sio sanitiser,ni sabuni ya maji,sanitiser huwa ni maji maji ambayo ukipaka kwenye mikono haina haja ya maji ili kusafisha,yenyewe yatosha na hukauka mkononi ndani ya sekunde chache...kwa kuzuia corona tafuta sanitizer yenye alcohol angalau asilimia sitini.

Supu ya mawe
 
Huku kitaa Kuna jamaa kanunua sabuni ya choo akizani sanitizers, elimu inapaswa itolewe sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom