Hivi hii haiwezi kuwa sababu ya umaskini wa Afrika

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna kitu nimekitakari kwa kina nikawa najiuliza why sisi wa africa ndo bara lenye umaskini wa ajabu kwani mali tunazo udongo tunao. Kila kitu cha kutufanya kuwa matajiri au kuendelea kule mbele kama wenzetu tunacho.

Moyoni mwangu kukaja maandiko haya mawili

Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

Mit 14:34
Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.

Hayo maandiko yalikuja akili mwangu

Nikitaka kusema kuwa africa viongozi wengi wanapita kwenye madaraka kwa njia ambazo sio za halali kabisa
Na utakuta yeye mtu ambaye anajua hakuchaguliwa kuwa kiongozi na wanachi wake bali magendo yake ndo sababu ya kumfikisha pale siku ya kuapishwa ana panda juukwani na kitabu cha Mwenyezi Mungu kuomba baraka zake
Hivi Mungu anaweza kumsaidia mtu kama huyo kweli au

Na wengine wanapata uongozi kwa njia za halali lakini wakipata uongozi kuliko kufanya kilicho mpeleka madarakani yeye anacho kifanya ni kudili na wale wapinzani wake kuwapa kesi za ovyo ovyo ili mwakani abaki tena madarakani

Je mtu kama huyo Mungu anaweza kumbariki

Na pia Afrika kuna mambo mengi ambayo yanafanywa sio ya haki kabisa wanatesa watu fulani ili wao wabaki juu.

.

Wewe angalia nchi ambazo haki inafanya kazi wako vizuri.

Lakini kwetu Afrika ni kama hivo unavyo jua maraisi kwetu ni wafalme tu huna haki ya kumkosoa pale anapo kosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi tulionao hatukuwaagiza(import) kutoka China, ulaya ama marekani.... Viongozi tulionao wanatoka mitaani kwetu... So, shida ya Africa si watawala tu hata watawaliwa ni tatizo na tuna common problem.

Mimi nikimuona Sabaya ninajiona mimi, nakuona wewe.

Nikisoma history ya mabuto nakuona wewe, Najiona mimi. watawala wetu Wana haksi vile mtu mweusi alivyo..nikiwa na maana kwamba:- hata wewe ukipewa nafasi alivyokuwa nayo Sabaya kuna uwezekano wa kufanya mabaya zaidi ya aliyoafanya Sabaya.

Uzoefu wangu unaniombia kwamba" bora kuwa na kiongozi kilaza ila wananchi wawe na akili" kiongozi akitumia ukilaza wake kuendesha nchi, wananchimtasema "NO... HAPANA, HAPANA, KESHO UONDOKE IKULU".

Black people especially tulioko Africa ni zaidi ya mazombi.

Nchi zinazoendelea kwa kasi ya kimondo hazifanyi vizuri kwasababu ya kuwa na watala wazuri tu, bali hata watawaliwa ni wazuri, kila mmoja anatumbua wajibu wake jambo ambalo Africa halipo.
 
Sijifananishi na yeyote ya hao uliowataja, na siwezi kuyafanya waliyofanya. Napenda watu waendelea, napenda wawe huru. Umemtaja huyo wa Hai, na leo hii niliiona clip yake akimuongelea vibaya aliyekuwa mbunge wa Hai na kumsifia aliyemteua yeye. Ni ushetani mtupu!
Na wananchi zuzu, ni kushangilia kila sentensi ya uoza aliyokuwa akiongea.
 
Mzungu atabaki kua Mzungu na mwafrika atabaki kua mwafrika,

Mwarabu alichagua Pesa
Mzungu akachagua Elimu & Maarifa
Mwafrika akachagua Ngoma
 
Sijifananishi na yeyote ya hao uliowataja, na siwezi kuyafanya waliyofanya. Napenda watu waendelea, napenda wawe huru. Umemtaja huyo wa Hai, na leo hii niliiona clip yake akimuongelea vibaya aliyekuwa mbunge wa Hai na kumsifia aliyemteua yeye. Ni ushetani mtupu!
Na wananchi zuzu, ni kushangilia kila sentensi ya uoza aliyokuwa akiongea.
Hichi unachokisema na ndicho ukisema regularly watawala wakiwa majukwaani wakiomba kura.. Si tu magufuli alikuwa akiahidi haki na usawa majukwaani bali alikuwa analia kabisa ila vitu alivyovifanya makovu yake hayatafutika.
 
Back
Top Bottom