Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Mngeuwa mnakimbia hivyo msinge nunua sale sale mwaka mzima⛷️⛷️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mngeuwa mnakimbia hivyo msinge nunua sale sale mwaka mzima⛷️⛷️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
😅 Umeshaanza.Mngeuwa mnakimbia hivyo msinge nunua sale sale mwaka mzima⛷⛷
Eti nasikia mnalalamikia waganga wenu wa jadi. wakati walisema mtakula Kadhaa na wao kuwaletea Droo lakini sio la kabati! 🤤🤤🤤😋😅 Umeshaanza.
My ribs 😂😂😂😂😂😂😂😂hizi za katavi sio za kuziamini sana boss,si unajua wabongo wanaweza kukuweke rangi za ice cream na ute wa majai na pafyum kwa mbaaali😂
Sio hioWadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.
Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!
Ahsante
View attachment 1391261View attachment 1391262
Sent using Jamii Forums mobile app
Smart gin ndio nini mkuu?
Sasa mkuu Dar karibu kila siku joto si zaidi ya 30Hiyo ni sabuni ya maji ya kuoshea vyombo. Yenyewe ni kama hiyo hapo chiniView attachment 1391319
Sent using Jamii Forums mobile app
Binamu niache. 💃💃Eti nasikia mnalalamikia waganga wenu wa jadi. wakati walisema mtakula Kadhaa na wao kuwaletea Droo lakini sio la kabati! 🤤🤤🤤😋
Hapo juu mbona umeandika 4500sisi tunauza 15000 achen kutapeliwa na wapenda fedha 0652472486 na tena tuna mpango wa kushusha bei
Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu hii umepata wapi maana madukani bei imepandaView attachment 1391271mkaamweusi tafuta hiyo mwaya...hiyo uliyopost ni sabuni tena zinauzwaga elfu 3. Si ajabu hata wamekupiga
Pharmacymkuu hii umepata wapi maana madukani bei imepanda
15k mls ngapi?sisi tunauza 15000 achen kutapeliwa na wapenda fedha 0652472486 na tena tuna mpango wa kushusha bei
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli na tutavisikia vingi sana! Si unajua elimu haina mwisho!
MASKs zinatumika kwa wale ambao tayari wanaugua huo ugonjwa au watu wanaohudumia wagonjwa (wahudumu wa afya). Kwa mtu ambaye hajauguwa, endelea kuchukua tahadhari ya kunawa mikono kwa sabunii, na kuwepo mikusanyiko isiyo ya lazima kama kwenda baa au kuangalia mpira!Nimeenda duka la dawa hapa Ubungo nikawa nafuata panadol, nikauliza mask, ananiambia moja buku 3, ingawa alisema zimeisha, nikawaza kama kwa siku unatakiwa unadirishe atleast 3 times itakuaje sisi vipato vya kawaida,
Ngoja nikazane na kunawa mikono tu. Mungu atusaidie sana.