Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Unaweza uza Bei juu,lakini ujue mda wowote utajikuta lokapu kwa uhujumu

Nimeenda duka la dawa hapa Ubungo nikawa nafuata panadol, nikauliza mask, ananiambia moja buku 3, ingawa alisema zimeisha, nikawaza kama kwa siku unatakiwa unadirishe atleast 3 times itakuaje sisi vipato vya kawaida,

Ngoja nikazane na kunawa mikono tu. Mungu atusaidie sana.
 
Mask zile za blue 😂😂 jamani hizo si mia 3?!!
 
Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.

Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!

Ahsante

View attachment 1391261View attachment 1391262

Sent using Jamii Forums mobile app
katafute hii mkuu au dettol
IMG_20200317_193832.jpg
 
Vipi ukinawa kwa kutumia hizi chlorine ambazo uwa wanaweka langoni mwa kambi za kipindupindu au V-Rid za kuweka kwenda maingilio ya mabanda ya mifugo ambazo hata bei yake ni nafuu pale ambapo matumizi yake ni makubwa na ya kila mara?
 
Hiyo ni sabuni ya maji ya kunawia mikono. Sio sanitizer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom