Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Vipi ukinawa kwa kutumia hizi chlorine ambazo uwa wanaweka langoni mwa kambi za kipindupindu au V-Rid za kuweka kwenda maingilio ya mabanda ya mifugo ambazo hata bei yake ni nafuu pale ambapo matumizi yake ni makubwa na ya kila mara?
Nafikiri hivyo pia Dettol ,clorine, v-rid na ethanol could suit the purpose.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ndio mambo yooote hadi corona virus inauliwa...dettol
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom