Pasaka hii kama siielewi elewi hivi

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,468
1,329
Hello wadau heri sana kwa pasaka. Natumaini yote ni wazima wa afya tele, kama haupo poa basi Muumba akupe wepesi upone haraka.

Nipo hapa Songea hata sielewi elewi hii siku utaishaje,kama kuna chimbo lenye pisi kali naweza enda osha macho basi tupeane konekshioni.

Hello nyie watembo amkeni amkeni tunawatafuta aisee.Natanguliza shukrani zangu za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee MPUUZI kweli

Unaamini katika Pasaka, alafu bado unataka kufanya uhuni kwenye hizi siku.

Pasaka ikukumbushe kwamba, Rafiki wa karibu ndio msaliti wako

Pasaka ikukumbushe kwamba Yesu ,alifufuka na Kwa Sasa Yuko juu mbinguni mkono wakulia wa Baba yake akituombea.

Pasaka ikukumbushe kwamba, Kifo kipo, na sio mpaka uzeeke ndo ufe, unaweza Kufa namiaka yake hiyo hiyo.

Acha UJINGA kuwaza Mbususu !!!
 
Ukitulia tu hapo ulale ...uamke ule....oga Mara kwa Mara...chat na angalia TV mbona giza halichelewi mkuu...unakuwa umeokoka na mengi
 
Nenda apo la chazi,utajikuta jumatatu imeshafika kwa muda mfupi,ila kama hauna ela anza na ulanzi uko uliko,
 
Yesu anaugulia kukuokoa na maovu hata siku haijaisha umewaza mbususu na pombe
 
Weee MPUUZI kweli

Unaamini katika Pasaka, alafu bado unataka kufanya uhuni kwenye hizi siku.

Pasaka ikukumbushe kwamba, Rafiki wa karibu ndio msaliti wako

Pasaka ikukumbushe kwamba Yesu ,alifufuka na Kwa Sasa Yuko juu mbinguni mkono wakulia wa Baba yake akituombea.

Pasaka ikukumbushe kwamba, Kifo kipo, na sio mpaka uzeeke ndo ufe, unaweza Kufa namiaka yake hiyo hiyo.

Acha UJINGA kuwaza Mbususu !!!
jamaa fala sana, anawaza mbususu tu.
 
Panda daladala uende Shule ya Tanga, kaombewe na Pastor Super Charger.

Asubuhi yote hii Bamboo unawaza Libeneke.
 
Hello wadau heri sana kwa pasaka. Natumaini yote ni wazima wa afya tele, kama haupo poa basi Muumba akupe wepesi upone haraka.

Nipo hapa Songea hata sielewi elewi hii siku utaishaje,kama kuna chimbo lenye pisi kali naweza enda osha macho basi tupeane konekshioni.

Hello nyie watembo amkeni amkeni tunawatafuta aisee.Natanguliza shukrani zangu za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
. Ingia telegram agiza wa songea anafika popote ulipo
 
Umeanza kupiga masanga mapema sana.Kipindi cha michezo saa moja na nusu usiku weye utakuwa unapigana baa.😂😂😂😂
 
Hello wadau heri sana kwa pasaka. Natumaini yote ni wazima wa afya tele, kama haupo poa basi Muumba akupe wepesi upone haraka.

Nipo hapa Songea hata sielewi elewi hii siku utaishaje,kama kuna chimbo lenye pisi kali naweza enda osha macho basi tupeane konekshioni.

Hello nyie watembo amkeni amkeni tunawatafuta aisee.Natanguliza shukrani zangu za dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
Lacharz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom