Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.

Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!

Ahsante

View attachment 1391261View attachment 1391262

Sent using Jamii Forums mobile app

Hand Sanitizer ambayo ni Alcohol Based ndiyo iliyokuwa recommended na WHO.

Tena Percentage ya Alcohol iwe ni atleast 60% to 95% to kill Germs effectively.

Otherwise hiyo sio Sanitizer bali ni washroom liquid soap ambayo haiwezi kuwa effective kwa COVID 19.
 
Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.

Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!

Ahsante

View attachment 1391261View attachment 1391262

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_1471.JPG

Kama upo TZ waone Bohari au tembelea Social Media zao;
 
Nafikiri kwa hali ya sasa serikali ingeruhusu matumizi ya gongo kwa ajili ya kutumika kama hand satizer

Upo sahihi kabisa. Wala usihitaji serikali ikuruhusu. Gongo au konyagi ina level ya Ethanol zaidi ya 60% , hivyo unaweza kutumia kama Hand Sanitizer. Pombe kama wine au Vodka, huwezi kwa Sababu level ya Alcohol haijafika 60% kwenda juu.

Kama umeshindwa kupata Sanitizer; tumia Gongo!
 
Jamani hiyo ni sabuni ya kawaida ya Maji, hata kwa Mangi zipo.bei yake kawaida tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom