Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
unapita unanukiiia kumbe umepaka ant bacteria daahHahahaa kwel, o level nmezipaka sana hizo[emoji23]. Af zilikua bei chee sjui elf 2 au buku jero
Sent using Jamii Forums mobile app
unapita unanukiiia kumbe umepaka ant bacteria daahHahahaa kwel, o level nmezipaka sana hizo[emoji23]. Af zilikua bei chee sjui elf 2 au buku jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni sabuni ya Maji......Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.
Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!
Ahsante
View attachment 1391261View attachment 1391262
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] yaanunapita unanukiiia kumbe umepaka ant bacteria daah
Hiyo wameniuzia 3500.Maenyewe basi nilikua sijui. Izo Sanitaiza bei gani zinaenda? Huchelewi sikia zinauzwa fifte sahivi.
Ahsante mkuu! Vingine hivi tumeviskia baada ya mlipukoMbavu zangu mie! hapana, sio sanitizer hiyo!
Marahaba..Hahahaa kwel, o level nmezipaka sana hizo[emoji23]. Af zilikua bei chee sjui elf 2 au buku jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Recommended ni 70% and above.Hiyo sio sanitiser,ni sabuni ya maji,sanitiser huwa ni maji maji ambayo ukipaka kwenye mikono haina haja ya maji ili kusafisha,yenyewe yatosha na hukauka mkononi ndani ya sekunde chache...kwa kuzuia corona tafuta sanitizer yenye alcohol angalau asilimia sitini.
Hapana ile ni SodaHIYO NI ASALI
maandishi yenyewe yanajieleza ni nn kiko ndani ya chupaWadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.
Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!
Ahsante
View attachment 1391261View attachment 1391262
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu corona alikuwepo/ alikuwa akifahamika kabla..Leo ndio nmesoma dettol nimeona kaandikwa. Na me nnatumia dettol kabla hata corona hajazukahii ndio mambo yooote hadi corona virus inauliwa...dettolView attachment 1391301
Sent using Jamii Forums mobile app