Hivi hawa watu wanalipwa na hizi redio?

Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Kuna yule wa Masasi anajiita Dereva Bajaji..

Ni kupenda sifa tu Mkuu.
 
😁😁😁
Sikuwa serious bro Ila naelewa watu wanapambana kwenye hizo platforms ili waonekane na watu flani watakaoweza kuwavusha.. More of a branding strategy sawa na wale wabobevu wa sekta flani wanapokuwa hawakosi kwenye kila jukwaa linaloendana na wanachokifanya 🙏🏽🙏🏽
Watu wanapayroll kukaa pale kila wiki😁😁 system ile
 
Kuna kipindi nilikuwa nikisikiliza radio hukosi simu au message za hawa watu katika kipindi chochote;

1. Mwalimu Kennedy mpemba kutoka Kahama hasa kwenye DW
2. Hamisi full migebuko kutoka kigoma
3. Daudi wa kota
4. Salma Msangi kutoka Dodoma
5. Kuna mwingine Filbert japo jina la mwisho nimesahau hutuma sana DW
Kuna mwingine baba Nurat mfuga njiwa yaan huyu karibu redio zote yupo na vipindi vyote yupo sijui wanafanya kazi mda gani,mesej wanaandika mda gani yaan wako faster balaaa
 
Back
Top Bottom