Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,603
- 59,745
Hizo ni Salamu Club zipo tu na hao unaowasikia ni members tu kuna mmoja anaitwa Kelvin Blaston Baba Yake na Neli Shujaa anaewakilisha Wazee wa Pamba na Cheni Nyingi shingoni anapatikana chini Jengo la Benjamin Mkapa pale Posta Mpya ukitaka kijiunga na hizo Salamu Club hata wewe unaweza kujiunga hua wanaacha namba zaoDu basi wapo njema kweli wanamapenzi mema
Ni wachingiaji km wewe unavyochangia comments JF unalipwa na Maxence Melo au unafanya kwa mapenzi tu?