Hivi Dr. Charles Kimei ndio mmiliki wa CRDB?

Hivi share zake ni sh. ngapi kwa kila moja
Kusema la ukweli haijawahi fika miatano tangu iingie sokoni. Ila mwisho wa mwaka faida bank inapata kubwa karbia nmb plc ila gawio kwa wana shea ni sawa na tone la mchanga wakat nmb gawio kila mwaka linatia furaha kumilikihisa zao wakati crdb plc ni zaid ya wizi.... Jiulize nani anafanya nini....
 
CRDB,os one big family under Baba Kimeo who loves his Siblings naWanawe pia wanampenda mno.
Hata MD fulani alikuwa hivyo ila sikuizi ametulia baada yakumulikwa.....
Alinunua waandishi wa habari
Mitandao
Vyombo vya habari...
Mpaka wafanyakazi....
Ila ukweli umejulikana na sio siku nyingi mahakam yaweza muhusu....
 
Sio kwa huyu,yeye joni, hemedi wote wanawe.
 
wengi saaaana hapa tz wanadhani crdb ni bank ya umma. Hii bank sio ya umma inamilikiwa na watu/makampuni mbali mbali kwa njia ya hisa. Ila utashangaaa wajinga wakianzisha mada zao za sijui nssf ina udini humo humo wana changanya na crdb utadhani ceo wake ninmteule wa rais wa jmt.

Eleweni crdb ni private bank.

Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini(Cooperative and Rural Development Bank-C.R.D.b) ni Benki ya Wakulima.Nadhani kati ya 1996/97 baada ya kusuasua ikapewa wadau na kuwa Ltd. Kimsingi Umma una maslahi yake. Sema tu haijaamuliwa ila akipatikana mtu mkorofi anaweza kuamuru irudishwe kwa vyama vya ushirika. Kwa sasa ingawa inaendeshwa kwa hisa za watu tofauti bado ni PLC!
 
Dr Charles Kimei na Dr Idriss Rashid ni baadhi ya vichwa vizuri na hazina tuliyo nayo Tanzania.

Hawa wazee wote walikuwa wakurugenzi BOT kabla ya kuamua kutafuta nafasi zaidi za kutumia ujuzi wao.

Dr Charles Kimei ndio akaenda CRDB na DR Rashid akabakia BOT kama Gavana wakti ule kabla ya Mkapa kumpeleka NBC kuivunjavunja.

Bila Dr Charles Kimei basi CRDB isingefika hapo ilipo.

Katika watu ambao ningependelea waendeshe shirika la bandari kwa sasa ni Dr Charles Kimei ili awafundishe namna ya kuendesha shirika kwa ufanisi na sio kulialia kwenye televisheni.

Ukitaka kufahamu zaidi siri ya ufanisi wa CRDB angalia safu ya uongozi wake inayoongozwa na Dr Charles Kimei.

Ila Dr Kimei sio mmiliki wa CRDB.

CRDB inamilikiwa na wanahisa mbalimbali wakubwa na wadogo.
 
Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini(Cooperative and Rural Development Bank-C.R.D.b) ni Benki ya Wakulima.Nadhani kati ya 1996/97 baada ya kusuasua ikapewa wadau na kuwa Ltd. Kimsingi Umma una maslahi yake. Sema tu haijaamuliwa ila akipatikana mtu mkorofi anaweza kuamuru irudishwe kwa vyama vya ushirika. Kwa sasa ingawa inaendeshwa kwa hisa za watu tofauti bado ni PLC!
Naona una hangover ya ujamaa. Kama yupo kidume hapa Tanzania mwambie achukue hiyo bank basi kama itawezekana.
 
Ndio mtu aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye hiyo bank...wayback 1993 hiyo bank ilikuwa inapumulia mashine halafu taratibu jamaa akainyanyua ikanyanyuka
Serikali imeanzisha bank nyingine tena benki ya wakulima bila hata kufanya tathmini kwa nini crdb ilishindwa
Dr Charles Kimei na Dr Idriss Rashid ni baadhi ya vichwa vizuri na hazina tuliyo nayo Tanzania.

Hawa wazee wote walikuwa wakurugenzi BOT kabla ya kuamua kutafuta nafasi zaidi za kutumia ujuzi wao.

Dr Charles Kimei ndio akaenda CRDB na DR Rashid akabakia BOT kama Gavana wakti ule kabla ya Mkapa kumpeleka NBC kuivunjavunja.

Bila Dr Charles Kimei basi CRDB isingefika hapo ilipo.

Katika watu ambao ningependelea waendeshe shirika la bandari kwa sasa ni Dr Charles Kimei ili awafundishe namna ya kuendesha shirika kwa ufanisi na sio kulialia kwenye televisheni.
Dr Idris Rashid ndiye kaianzisha Akiba Commercial Bank na Amana Bank na zipo vizuri.Masikini NBC inakufa kifo cha mende hali ni mbaya sana wateja wamekimbia
 
Pamoja na kuingia jf hata wewe huwezi jua vitu vyote ni lazima kuna vingine ni vya kawaida tena sana lakini utauliza.
Sema umezoea second hand information. Umeulizwa kuna sababu gani simu unayotumia kuingia jf usiitumie kutafiti umiliki wa CRDB?

Wewe huna tofauti na jamaa yangi mmoja ambaye anaiamini BBC swahili kuliko Mungu.
 
Ndugu nipo update kuliko unithaniavyo lengo langu ni kutoa elimu kuwa kuyajua machache sio teketi ya kuyajua yoteyote na ufafanuzi unatofautiana maelezo ya ku google yanatofautiana na maelezo ya jamiiforum member kimuundo na kimaudhui.
 
Back
Top Bottom