Hivi Dr. Charles Kimei ndio mmiliki wa CRDB?

kimei ni CEO wachache waliopo Tanzania na ambao wamevuka malengo ,ana mikakati ,mbinu ,na tunasema ni msoma gap ,ameitoa crdb chini hadi sasa ipo juu ,natamani hata shirika letu la ndege lingekuwa na mtu wa aina hii mzalendo tungesonga mbele ,mwingine ni msechu wa NHC naye ni mfano mwingine wa kuigwa na wanavyuo darasani ,ni mifano mizuri kwa kufundishia jinsi ya kuipenda nchi ,kwanza ,utaifa ,mshahara badae .na wameweka historia sahihi kwa vizazi kwa kuonyesha mfano kuwa tunaweza kuvuka hapa tulipo mashirika mengi nafasi hizi hupewa raia wa kigeni
 
  • Thanks
Reactions: kui

CRBD imetumika sana kupitisha madili ya ufisadi...Na kilichowanyanyua ni ufisadi na ujanja ujanja tu
 
unakoenda siko hizo kesi za ufisadi na ujanja ujanja mwingi mahali pake ni mahakama je umefungua shauri hili mahakama husika .
 
Kusema la ukweli haijawahi fika miatano tangu iingie sokoni. Ila mwisho wa mwaka faida bank inapata kubwa karbia nmb plc ila gawio kwa wana shea ni sawa na tone la mchanga wakat nmb gawio kila mwaka linatia furaha kumilikihisa zao wakati crdb plc ni zaid ya wizi.... Jiulize nani anafanya nini....
Well said
 
Back
Top Bottom